Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kwani wewe kilema? AiseeMke si kila mwanamke mzuri wa sura na maumbile. Hao wanawake uliowataja unafikiri watakuletea maji ya kunawa na kukuosha mikono kabla na baada ya kula?
Ndoa kigezo cha maadili hapana.LAKIN WAIT A MINUTE!!
hivi kuolewa ni kigezo Cha KUWA NA MAADILI?
TUNAWAPIMA WANAWAKE KWA KIGEZO CHA KUOLEWA?
NANI ALISEMA WANAOOLEWA NDIO WANAWAKE BORA?
WANAOLEWA NA NANI?
HAO WANAOWAOA NDIO WANAUMR BORA?
AU UKIWA TU MWANAUME NDIO UNAKUWA TU MUME BY DEFAULT!!
NA KUWA MKE NI LAZIMA UWE MWANAMKE BORA?
well HILI NI jukwaa la macelebrities!!
Hi mada ingehamia MMU pangenoga Sana!!
Hapo umeongea ukweli mtupu.Wanaume wana akili sana kuliko sisi wanawake tunavyodhani! Hususani kwenye kuchagua wakuoa
Wanaume bwn mbwembwe nyingii af wengine mnachapiwa bado hahaHapo umeongea ukweli mtupu.
Mwanaume hata awe na mademu 100, kwenye suala la kuoa akili kuna wakati inafika hadi mbinguni.
Ndiyo maana anaweza kuacha wazuri wengi akaangukia kwa demu wa kawaida hadi watu/ marafiki wanabaki midomo wazi.
Chukua soda kwa mangi