Kwanini mastaa wengi wa kike hapa Tanzania hawaolewi?

Kwanini mastaa wengi wa kike hapa Tanzania hawaolewi?

Yani nimuone mke wangu anaigiza scene ya kuliwa wapo hotelini kabisa wanaandaana....aisee najua je walipo ishia hata kama ni maigizo???

Hapana aiseee waache waoane wenyewe kwa wenyewe
 
Sio kosa lao bali wanaume wachache hivyo wameamua kuwa michepuko kusaidizana na njia kuu
 
Yaan kuona staa ni kazi yaani uwe mvumilivu maana mitoko kwake ni kawaida. Wanaume atakuwa nao kwa mwamvuli wa fans na anafnya nao kazi. Kutokuolewa kwa hawa mastaa ni kielelezo cha kwamba, kigezo cha uzuri hakina kipaumbele katika kuolewa kwa mwanamke.
 
Kwa hadhi ya neno "NDOA" wengi hawa qualify..yale maisha ya ku fake wapendayo na ndoa wapi na wapi..
 
BASI TU!!.
ILA NAAMINI KUNA WATU WANA HISTORIA CHAFU ZA KUTISHA KULIKO HAO MASTAR!!.
NA BADO WANAOLEWA NA BADO NI WAKE ZA WATU!!

NI VILE TU WAO WANATANGAZIKA!!
 
LAKIN WAIT A MINUTE!!

hivi kuolewa ni kigezo Cha KUWA NA MAADILI?
TUNAWAPIMA WANAWAKE KWA KIGEZO CHA KUOLEWA?
NANI ALISEMA WANAOOLEWA NDIO WANAWAKE BORA?

WANAOLEWA NA NANI?
HAO WANAOWAOA NDIO WANAUMR BORA?
AU UKIWA TU MWANAUME NDIO UNAKUWA TU MUME BY DEFAULT!!
NA KUWA MKE NI LAZIMA UWE MWANAMKE BORA?

well HILI NI jukwaa la macelebrities!!
Hi mada ingehamia MMU pangenoga Sana!!
 
Wanapendwa na wengi hivyo kuchagua sio rahisi na wanaume wanaogopa follen
 
LAKIN WAIT A MINUTE!!

hivi kuolewa ni kigezo Cha KUWA NA MAADILI?
TUNAWAPIMA WANAWAKE KWA KIGEZO CHA KUOLEWA?
NANI ALISEMA WANAOOLEWA NDIO WANAWAKE BORA?

WANAOLEWA NA NANI?
HAO WANAOWAOA NDIO WANAUMR BORA?
AU UKIWA TU MWANAUME NDIO UNAKUWA TU MUME BY DEFAULT!!
NA KUWA MKE NI LAZIMA UWE MWANAMKE BORA?

well HILI NI jukwaa la macelebrities!!
Hi mada ingehamia MMU pangenoga Sana!!
Ndoa kigezo cha maadili hapana.

Mwashabani sokwe kaolewa lakini kabla ya ndoa na hata sasa hivi yuko ndani ya ndoa anaitoa usipime.
 
Wanaume wana akili sana kuliko sisi wanawake tunavyodhani! Hususani kwenye kuchagua wakuoa
Hapo umeongea ukweli mtupu.
Mwanaume hata awe na mademu 100, kwenye suala la kuoa akili kuna wakati inafika hadi mbinguni.
Ndiyo maana anaweza kuacha wazuri wengi akaangukia kwa demu wa kawaida hadi watu/ marafiki wanabaki midomo wazi.

Chukua soda kwa mangi
 
Wengi wa mastaa wetu hawajui kutofautisha maisha ya ustaa na maisha ya ndoa.

Pia wakati wa ustaa wao huwa na watu kibao. Hivyo wanakosa maamuzi sahihi ya yupi wa kuishi naye.

Mwisho, ustaa huwaelemea mno na kusahau kuwa nao ni watu wa kawaida tu.
Ndiyo maana wanapoharibikiwa ndipo hukumbuka marafiki wao wa chini.
 
Hapo umeongea ukweli mtupu.
Mwanaume hata awe na mademu 100, kwenye suala la kuoa akili kuna wakati inafika hadi mbinguni.
Ndiyo maana anaweza kuacha wazuri wengi akaangukia kwa demu wa kawaida hadi watu/ marafiki wanabaki midomo wazi.

Chukua soda kwa mangi
Wanaume bwn mbwembwe nyingii af wengine mnachapiwa bado haha
Mi naona mwombe Mungu tu akusaidie
 
Back
Top Bottom