Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
[emoji3468] [emoji359]Hata angewekewa kwenye nyeupe angeuliza tuu,. inaonekana kijana ana amini sana shirki.
Pesa hutolewa kwa njia nyingiHili swali kuna mtu kaja kuniuliza nikashindwa kumjibu, what is it behind matajiri wanapokupatia pesa cash, kukuwekea kwenye bahasha ya khaki, anauliza kwanini wasikupatie tu mkononi. Inaonyesha alifanya kazi fulani akatakiwa kupewa cash, akapewa kwenye bahasha ya khaki, na yeye ni kama mtu asiyejiamini, alifikiri kuna namna za masharti ya kishirikina. kama kuna mtu alishakutana na hilo hebu atupatie uzoefu, na kama kuna tajiri hapa atufafanulie kama kuna ubaya wowote.
Umemaliza mshana.Pesa hutolewa kwa njia nyingi
Kuingiziwa kwenye account ya bank
Kutumiwa kwenye simu
Kuwekewa kwenye hiyo bahasha ya khaki.. Hapa ndio pamekutatiza nadhani
Bahasha za khaki unazozungumzia ni zile ndogo sio zile kubwa za A4..hizo zinatumika kwa viwango vidogo tu vya pesa zisizozidi laki 5 na kuna nyeupe zake pia
Hapa hakuna ushirikina wowote bali ni urahisi wa kupatikana kwakwe na unafuu wa bei na matumizi yake ni hizi pesa ndogo ndogo kama nilivyoainisha hapo juu
Kingine ni heshima na usiri, si lazima hadhira ione umepewa bei gani lakini hata ikijua si heshima kumpa tu pesa ya zawadi bila kibebeo japo kwa baadhi ya matukio hufanya hivyo
ni kweli, si unajua zaidi ya asilimia 70% ya watanzania ni washirikina? na hata hiyo 30% sio kwamba hawajawahi kugusa ushirikina, aidha hawana hela kuuendeleza au wameamua kuacha kwasababu ya dini n.k. kama sio mchawi basi kachanjwa chale na mchawi/mganga, anda hirizi, anapiga simu kwa babu yake mchawi kijijini, anasafisha nyota, anakunywa madawa ya kienyeji aliyopewa na wachawi/waganga, n.k.Hata angewekewa kwenye nyeupe angeuliza tuu,. inaonekana kijana ana amini sana shirki..
[emoji3][emoji1545][emoji1545]Umemaliza mshana.
Uzi ufungwe tafadhari.
Bado napumua ndugu yangu kwa Rehema zake Mwenyezi Mungu mweza wa yote.mshana hivi bado mzima, tupokee mawaidha yake pia.
Pesa hutolewa kwa njia nyingi
Kuingiziwa kwenye account ya bank
Kutumiwa kwenye simu
Kuwekewa kwenye hiyo bahasha ya khaki.. Hapa ndio pamekutatiza nadhani
Bahasha za khaki unazozungumzia ni zile ndogo sio zile kubwa za A4..hizo zinatumika kwa viwango vidogo tu vya pesa zisizozidi laki 5 na kuna nyeupe zake pia
Hapa hakuna ushirikina wowote bali ni urahisi wa kupatikana kwakwe na unafuu wa bei na matumizi yake ni hizi pesa ndogo ndogo kama nilivyoainisha hapo juu
Kingine ni heshima na usiri, si lazima hadhira ione umepewa bei gani lakini hata ikijua si heshima kumpa tu pesa ya zawadi bila kibebeo japo kwa baadhi ya matukio hufanya hivyo
Kaka mwanakwenda alikuwa na kibri ya kiwango cha sgr[B[Ulichokosea hujawahi kumueleimisha yule Marehemu wako kiasi akawa anagawa gawa miburungutu barabarani hovyo2 hovyo!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app