Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Unadhani zile 10 m alitoa Mkwasa mfukoni kwake ? Kama hakutoa Mkwasa basi hajatengwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tumesema kuwa lile suala halihusu team linamhusu yeye Manji binafsi hayo yake mashabiki hayawahusuKama mtanzania wa kawaida nimeshangazwa na huu ukimya wa viongozi wa Yanga na hata matawi ya mashabiki wa Yanga kuhusu suala la mwenyekiti Yusuph Manji, yaani hakuna hata asije kizungu mzima wala kugusia watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida pale jangwani kama kwamba huyo mtu anayeteswa huko mahabusu ni panya tu.
Yanga mkumbuke mnaishi na kwenda chooni kwaajili ya Manji.Mmeenda kuifahamu Uturuki huko kwaajili yake na raha zote mnazokula.
Hata hao viongozi makocha watatu wanaotimuliana ushuzi hapo jangwani wote anawalipa Manji lakini na ona hakuna fadhila au hata utu mlioufanya juu ya hili suala lake.
Kumbukeni mahakama ndio inayohukumu kwamba fulani ndo anakosa na sio polisi, hapo alipo Manji ni mtuhumiwa kwahiyo nilitegemea hata pole zenu hata kumtembelea au kukaripia pale sheria zimapokiikwa juu yake.
Alipotajwa Mbowe chadema walicharuka, alipotajwa Gwajima waumini wake pia walicharuka lakini kwa upande wa Manji imekuwa tofauti , yaani ameachwa kama mtoto yatima wote mmempuuza huku mwataka hela zake.
Nakumbuka miezi ya hapo nyuma Manji alitishia kujitoa Yanga , mkamwomba sana na mkamtuhumu Mengi anahusika na hata kuchoma magazeti yake na matusi juu. Lakini Makonda kumdhalilisha Manji mmetulia tuliiiii , hapa mnanifanya niamini mnabifu lenu lililo ndani ya uccm kwa Mengi.
Yaani mnaona mkimkea Makonda ntakuwa mmeidhalilisha ccm ,kwahiyo ni bora Manji ateswe ila ccm mnayoipenda isisemwe.
Yanga onyesheni kwa vitendo mnamsapoti mwenyekiti wenu na muache uoga maana hao mnaowaogopa hawalipi hata mshahara mmoja wa mchezaji wenu.
Ni hayo tu