Kwanini matajiri wa Yanga wamemsusia Manji hadi anateseka na kuaibika hivi?

Unadhani zile 10 m alitoa Mkwasa mfukoni kwake ? Kama hakutoa Mkwasa basi hajatengwa
 
Si tumesema kuwa lile suala halihusu team linamhusu yeye Manji binafsi hayo yake mashabiki hayawahusu
 
Kwani alikutwa ana hizo dawa au mkojo wake ulikuwa na harufu ya hayo makitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…