matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Kwa nini wakristo wasiwe na connection nzuri na Malaika wenye nguvu kuliko majini.Nilichokiona Mimi uislam una connection nzuri na majini na kwa story zilizopo jini likikubali linakupa chochote unachoomba mi nachoweza kusema utajiri wa waislam wengi una uhusiano mzuri na mambo ya majini compared na utajiri wa wakristo.
Mkuu unadhani majini yanaweza kuwa sababu pekee kweli.
Maana hata kabla ya ukristo na usilam majini tulikuwa nayo ya kutosha tu, tena mengine tukayarahisisha na kuyaita mizimy