matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
Kwa nini wakristo wasiwe na connection nzuri na Malaika wenye nguvu kuliko majini.Nilichokiona Mimi uislam una connection nzuri na majini na kwa story zilizopo jini likikubali linakupa chochote unachoomba mi nachoweza kusema utajiri wa waislam wengi una uhusiano mzuri na mambo ya majini compared na utajiri wa wakristo.
MEKO anaamini vyeo ndio utajiri ndio mana kaamua kuwakomoa wachagga, hawapewi hata ulinzi kwenye shirikaKuna watu walikuwa na vyeo na bado wamekufa masikini, CHEO SIO KIPIMO CHA UTAJIRI, hoja yako ni dhaifu mno
nani alikunyima elimu? ulisoma wapi ukaambiwa wewe ni muislamu usisome? hayo matango pori mnayolishana huko madrasa ni hatari sana. Mfumo wenu ndio unawanyima elimu tambueni hilo.Wakiristo wameingizwa serikalini kimfumo wa kanisa katoliki ,waislamu wamenyimwa elimu lakini wapigania uhuru wa nchi kwenye historia ni waislamu kanisa likateka na kuweka wanaomtaka kunusuru mfumo wao Waislamu hawakawa hawana jinsi na kuingia kwenye biashara. Mafisadi wakubwa na wanaosababisha umasikini nchi hii ni waendesha serikali
nimekuelewa mkuu, umetoa kanuni. Napenda sana watu wanaoishi kwa kanuni.Kuna watu hua wanaridhika mapema na kujiona wamesha win maisha,na kuna watu ambao wanajua kua maisha ni safari na pesa haina limit,
Huo utofauti ndio unafanya watu fulani wewe matajiri na wengine masikini,
Sijataja mtu wala dini wala kabila lolote.
Hivi siku hizi kumbe kuna makundi ya kua mtanzania Eeeh! kuna la weupe na weusi?Cha kushangaza kwenye list yako hakuna mtanzania mweusi wa dini uliyoizungumzia..
ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.
haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
Hakuna muajiriwa tajiri zaidi ya wizi au mwenye cheo.MEKO anaamini vyeo ndio utajiri ndio mana kaamua kuwakomoa wachagga, hawapewi hata ulinzi kwenye shirika
ameandika maungo kutafuta huruma mkuu.nani alikunyima elimu? ulisoma wapi ukaambiwa wewe ni muislamu usisome? hayo matango pori mnayolishana huko madrasa ni hatari sana. Mfumo wenu ndio unawanyima elimu tambueni hilo.
Acha kabisa kuleta mambo ya ukabila wewe , kuna watu wamegharamika sana kwenye nchi hi kuhakikisha tunakuwa wamoja bila ukujali makabila yetu, aliyekuambia wachaga wanakomolewa nani? usiongee kupata umaarufu humu JF,MEKO anaamini vyeo ndio utajiri ndio mana kaamua kuwakomoa wachagga, hawapewi hata ulinzi kwenye shirika
Nilichojifunza, huwezi kutenganisha uislam na biashara, maana hata waasisi wao walikuwa wafanyabiashara. Mwanamke wa kwwnza kusilimu ambaye wengine wanaamini ni muislam wa kwanza alikuwa ni mfanya biashara milionea.Hata daladala zote za jijini Dar es salaam na magari "mabasi;" ya mikoani matajiri wao ni waislam tujifunze kitu hapa bila shaka kwenye mafundisho yao kuna vinasaba vya micro- economics
umeandika point.Acha kabisa kuleta mambo ya ukabila wewe , kuna watu wamegharamika sana kwenye nchi hi kuhakikisha tunakuwa wamoja bila ukujali makabila yetu, aliyekuambia wachaga wanakomolewa nani? usiongee kupata umaarufu humu JF,
Ndipo mumshauri.Hakuna muajiriwa tajiri zaidi ya wizi au mwenye cheo.
Kama kweli atakuwa anafeli maana hata ukileta watanzania laki tano tajiri wote watakuwa waajiri au wawekezaji, muajiliwa tajiri hawezi kusimama kwa utajiri wa mishahara labda miradi mingine.
mkuu nimeichukua.Mkuu naomba niweke historia sawa pia
Tajiri namba moja wa wakati wote ambaye mpaka anakufa utajiri wake haukuwahi kufikiwa na mtu yeyote mpaka leo duniani (dola trilioni 400) anasepa kwa jina la Alhaj Mansa kankan Mussa
Kwa hiyo wanaotia hoja ya uarabu hapa waitoe mara moja
Hii ipo kitabu gani cha biblia? sijawai kuiona mkuu, msaadaFanyeni biashara hadi nitakapokuja''.