interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kuna watu hua wanaridhika mapema na kujiona wamesha win maisha,na kuna watu ambao wanajua kua maisha ni safari na pesa haina limit,
Huo utofauti ndio unafanya watu fulani wewe matajiri na wengine masikini,
Sijataja mtu wala dini wala kabila lolote.
point[emoji736][emoji818]Ungeandika kuwa matajiri wengi ni waarabu na wahindi Waislamu
Waislamu weusi wako choka mbaya
ila we jamaa[emoji23][emoji23]Waislamu uliowataja wote wapiga dili na biashara haramu.
Mo huku mahakamani anaingia kwa jaji kama chooni, anaacha hela atakayo.
wengine naogopa kutaja mambo yao MEKO atalala nao mbele leo leo
Luka 19:13Hii ipo kitabu gani cha biblia? sijawai kuiona mkuu, msaada
hahahahaila we jamaa[emoji23][emoji23]
Tunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
hahahahaMatunduizi chukua hii point afu ufunge uzi wako hapa, usiendelee kutujazia severs za simu.
"Jiwekeeni hazina zenu mbinguni ambapo nondo hazitaota kutu kamwe"
Mkuu nimekuelewa.Nitakupa sababu moja kubwa sana na ukiweza, ifanyie utafiti.
"Waislam wanajua na wanafuata sana taratibu za kiroho".
1. Kumtolea Mungu zaka, wapo vizuri
2. Kusaidia wasiojiweza, wapo vizuri
Wakristo wengi ni wabinafsi sana kwa Muumba wao lakini na kwa binadamu wanaotuzunguka. Na hivyo tunapishana na Baraka ambazo Mungu alituwekea.
Mungu alipombariki Ibrahimu, alimpa baraka za aina mbili. Moja ni Mbaraka wake na ya pili ilikuwa ni Mbaraka wa wengine.
Na hata sasa, huwa Mungu anatuamini pia katika kutupa hizo baraka, lakini kwa sababu ya ubinafsi wetu, huwa tunashikilia hata vile vya wengine na hivyo hutokea Mungu kuachana nasi.
WaKristo tubadilike ili agano la Mungu liishi ndani yetu.
Naomba kusema hili, mimi ni MKristo.
ukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.
Nadhani uarabu wao sioni kama ni sababu, maana kuna waarabu wengi wanashida tu.
Kwa nini Wakristo mfano wa Bukoba huko ambako elimu ilifika siku nyingi wasiwazidi hao waarabu. Maana sisi tunadirct connection na Ulaya kwa matajiri na mabeberu wao ni middle east tu ambako wengi ni choka mbaya vilevile
Ulifanyia wapi utafiti wako? Au mpaka watu waanze ku flex na EVOQUE pamoja na ROLEX ndo waonekane matajiri? Ila all in all utajiri una definition tofauti kwa kila mtu.ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.
haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
mkuu haya majungu haya. maana yanahitaji uwe Tiss au ulishiriki hiyo michongo ya kuwatimua ili ujimwambafai hadharani na kauli hizi.Ndipo mumshauri.
MEKO kahakikisha wachagga wanafukuzwa CRB. BANDARI, TANESCO, BOT na sehemu nyeti kama TISS,kwenye ukuu wa majeshi pia.
Ameshindwa kuelewa vijana wa kilimanjaro ni ma fighter, wanatafuta maisha popote,wapo duniani kote, mkoa unaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni a watoto wanatumia wazazi wao fedha.
Mkoa una waomi wengi kama vile bukoba na Mbeya.
cha kushangaza JIWE anataka kuwakomoa watu haawa ndani ya miaka yake 5, never!
mkuu mbona wazungu ndio wanasoma hayahaya, na yametoka hukohuko.elimu waliyopewa ni ya ku "maintain status quo" na sio kuwa "self realized"
mkurugenz wa TISS wa saiz n mchagaMEKO anaamini vyeo ndio utajiri ndio mana kaamua kuwakomoa wachagga, hawapewi hata ulinzi kwenye shirika
Wengi wao wameibia serikaliila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.
haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
asante, tunajadili mambo ya msingi kamjamaa kanaleta kahawa.mkurugenz wa TISS wa saiz n mchaga
Shule zimetuchelewesha sana,na zitaendelea kutuchelewesha,kuna jamaa zangu nilioanza nao primary walishindwa kuendelea na shule za kati na vyuo vikuu sababu ya uwezo mdogo wa nyumbani,saiv ni matajiri ukilinganisha na mimi niliyepotezwa na wazazi wangu kwa kufikiri wananipenda,kumbe ndio wananiangamiza,nimeishia kuajiriwa lkn maisha yangu ni ya kawaida sana nikijiringanisha na hawa miamba,i hate schools,kamwe kupitia shule kwa Africa ni nadra sana kufikia ndoto za utajiri,mia kwa mmoja!
hahahaha, mkuu mbona ulaya wanakunywa hadi kuoga na kula kitimoto lakini muislam na mwarabu anasalimu amri kwa wale mabeberu tajiri.Héla inaishia Bar n'a kitimotooo