GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono?
Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na kuacha Kunibishia pale nikiwa na wasiwasi na taarifa / jambo fulani.
Ushauri wa bure kama kwa sasa una Mtaji wako na unataka kujikita katika Biashara inayolipa na itakayojulikana kwa haraka na Faida yako utaiona basi fanya ya Kuuza Majeneza, Misalaba na Sanda kwani kwa sasa VVU ( Dally Kimoko ) inanipukutishia Watu kwa Kasi kubwa na kila Siku.
Danganyweni tu kuwa hali ni nzuri ila kwa akina GENTAMYCINE ambao 24/7 Maisha yetu na Majukumu yetu ni ya Kukutana na Watu wa kila aina na kwa maeneo mbalimbali huku tukiwa na Marafiki walioko katika Maabara na Hospitali Kubwa, za Kati na za Kawaida tunajua jinsi hali ya Maambukizi ya UKIMWI / DALLY KIMOKO ilivyo mbaya na nikisema hali ni mbaya ninamaanisha kweli kweli.