Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maandalizi hafifu....na hili ni tatizo la watahiniwa wenyewe,hawajiandai but wanataka matokeo!
Kupasha kiporo kazi ndugu! Acha tu.
Au hujma ?
Mimi kwa mtazamo wangu si vizuri kwamba kila mwaka watahiniwa wa kujitegemea huwa hawaambulii kitu.,naona dhana hii imekaririwa sana. Naomba wizara ibadilishe utaratibu huo.
kweli kaka tatizo ni kwa watahiniwa wenyewemaandalizi hafifu....na hili ni tatizo la watahiniwa wenyewe,hawajiandai but wanataka matokeo!