mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono.
sasa je ivo ndivo sheria za trafiki zinaelekeza trafiki watoe macho zaidi kwa gari za mizigo na toyo kuliko ivi vyombo vinavyobeba abiria au trafiki kuna kitu wameona na kuamua kujiongeza tu au kuna nini kinaendelea apo?
maana imefikia wkt ukiwa kwenye gari ya abiria yenye makosa hlf gari ya mizigo ikapita apo sio ajabu ukashangaa trafiki anaachana na wewe mazima na kumkimbilia huyo wa gari ya mizigo. sasa hawa wa mizigo wana sheria tofauti au kuna nini hasa?