Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Jan 8, 2024 #21 Sexless said: Kuna mwanamke askari huko Arusha aliyekodi majambazi kumuua mumewe ili aendelee kusagana. Mm nadhani tatizo kubwa ni hizi NDOA mnazolazimisha kuzifunga ktk zama hizi ambazo ni za "utandauchi". Kwann mnaingia kwenye ndao?? Kataa ndoa uepuke kifo Click to expand... Ndoa sio sababu na ni uzembe kudhania ndoa ndio inasababisha watu kuuana kwani mtu hawezi kutoroka na kuanza maisha pahala kwengine? Shida ni changamoto za akili watu wanarundika sana mambo vichwani na muda mwingine unakuta shida alikuwa nayo hata kabla ya ndoa.
Sexless said: Kuna mwanamke askari huko Arusha aliyekodi majambazi kumuua mumewe ili aendelee kusagana. Mm nadhani tatizo kubwa ni hizi NDOA mnazolazimisha kuzifunga ktk zama hizi ambazo ni za "utandauchi". Kwann mnaingia kwenye ndao?? Kataa ndoa uepuke kifo Click to expand... Ndoa sio sababu na ni uzembe kudhania ndoa ndio inasababisha watu kuuana kwani mtu hawezi kutoroka na kuanza maisha pahala kwengine? Shida ni changamoto za akili watu wanarundika sana mambo vichwani na muda mwingine unakuta shida alikuwa nayo hata kabla ya ndoa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 8, 2024 #22 Inasikitisha sana... Cc: Antonnia
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 16,950 Reaction score 13,527 Jan 8, 2024 #23 chuma cha mjerumani said: haipendezi kusikia watu wanatamka hadharani kwamba hakuna serikali kuna jamaa alicomment mahali kwamba Tz hatuna rais. sijui alikuwa anafikiria nini. Click to expand... Hata Jiwe hawakumpenda,sembuse Samia?
chuma cha mjerumani said: haipendezi kusikia watu wanatamka hadharani kwamba hakuna serikali kuna jamaa alicomment mahali kwamba Tz hatuna rais. sijui alikuwa anafikiria nini. Click to expand... Hata Jiwe hawakumpenda,sembuse Samia?