Siyo wivu bali yanatokana na USALITI WA MAPENZI!! Na ilishasemwa ukiwa Msaliti hupaswi ku-survive. Kama adhabu ya usaliti ni sahihi kuwa kifo hiyo hatujui. Ila binadamu akisalitiwa ni lazima atapandwa na hasira na akikasirika huenda akafanya chochote. Viongozi wa dini leo wametoa tamko chanzo ni MMOMONYOKO WA MAADILI NA UHUNI. Umalaya umekuwa sifa hadi unaitwa kudanga kudamshi kula vichwa kuchacharika etc etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.