Kwanini mawakili wa Sabaya wanakataa mstakiwa Watson asitumie simu yake Kwenye ushahidi?

Kwanini mawakili wa Sabaya wanakataa mstakiwa Watson asitumie simu yake Kwenye ushahidi?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Mawakili wa Lengai ole Sabaya wameweka pingamizi kwa mshtakiwa wa tatu kutumia simu yake Kwenye kutoa ushahidi. Mawakili wa Sabaya wanadai simu hiyo ya mtuhumiwa haijaorodheshwa Kama sehemu ya ushahidi wa utetezi lakini pia hiyo simu haipo Takukuru, hivyo hawajui mtuhumiwa ataitolea wapi.

Mtuhumiwa Watson yeye anadai simu yake ilichukuliwa na Takukuru siku ambayo walimkamata. Uamuzi wa kutumia simu ama la utatolewa kesho tarehe kumi 2022.

Swali langu Ni kwanini wakili alijitoa kumtetea mtuhumiwa Watson na ni kwa nini mawakili wa Sabaya wanapinga mtuhumiwa asitumie simu yake Kama ushahidi?.
 
Back
Top Bottom