Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitake kusingizia mnalogwalKwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili.
Basi nendeni mkafanyie mazoezi mapangoniKwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili.
Mazoezi ya timu baadhi yapo wazi mengine ni ya siri.tena 90% ya mazoezi ni siri,huwezi kwenda carrington kirahis tu kushuhudia mazoezi.Mnataka kujificha ili iweje?
It might be, ila Bongo si kama ulaya ndugu yangu. Afrika unaweza kudhulika kwa kuweka mambo yako wazi. Kule Ulaya unaweza kuwa unatembea barabarani huku unakula biskuti au bagger, sasa jaribu kufanya hivyo ukiwa kwenye territory ya Wajaluo (wilaya ya Rorya) kama huja-RIP fasta. Waulize waliowahi kuishi kule watakwambia. Soka la Afrika lina mambo mengi ya ajabu.Ni Psychology Zaidi Other Than Technical...Braza Ulaya Kuna Timu Zinaenda Live Kabisa Na Huwaambii Kitu, Simba Ikificja Mazoezi Haiwezi Kufanya Onyango Anawa HARKASS Au Bocco Akawa KHABA