Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
wakikujibu nitagWadau hamjamboni nyote?
Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
Huko hakuna hoteli ya kitalii.
Huko hakuna beach,
Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
Huko muda wote kuna msongamano.
Huko muda Mwingi huwezi on a MTU kavaa suti Na briefcase.
Nauliza kwanini iwe hivyo? No bahati mbaya?
Waku karibuni tujadili.
Huenda shuleni alisomea ujinga.Sasa Beach itakuwepo vipi? Yan sehemu hain bahari wala ziwa itakuwaje na beach?
Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipoSasa Beach itakuwepo vipi? Yan sehemu hain bahari wala ziwa itakuwaje na beach?
Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipo
mwulize Dodoma kuna beach? Ukiambiwa watanzania bado sana mnakataa, watu wanajifanya wajanja mtu hajui maana ya beach. Ndio maana unakuta baa kimara imeandikwa kimara beach and resortuwezo wako ni mdogo kwani beach huwa zinapatikana pembeni ya bahari, moto na maziwa jiulize kama mbagala Ina sifa hizo. swali lako ni sawa na kuuliza kama Gongolamboto Kuna beach au Ubungo Kuna beach.
Mkuu soma vizuri nilichoandika ndiyo utoe maoniuwezo wako ni mdogo kwani beach huwa zinapatikana pembeni ya bahari, moto na maziwa jiulize kama mbagala Ina sifa hizo. swali lako ni sawa na kuuliza kama Gongolamboto Kuna beach au Ubungo Kuna beach.
Mleta mada unajua maana ya "Fukwe"? Sehemu inakuwaje na fukwe ikiwa hakuna waterbodies kama Bahari, Ziwa n.k? Kwani kariakoo kuna fukwe?Wadau hamjamboni nyote?
Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.
Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?
Waku karibuni tujadili.
Wadau hamjamboni nyote?
Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.
Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?
Waku karibuni tujadili.
Usishindae nae huyu dogo hajitambui. Inavyoonekana ni mgeni hapa town na usikute hata anaishi kwa hisani ya shemeji yake baada ya dada yake kutumikishwa usiku.Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipo
Hapo sasa,!!Sasa Beach itakuwepo vipi? Yan sehemu hain bahari wala ziwa itakuwaje na beach?
Mbona kijichi ni kwa kishua tu.Kijichi kuna bahari wewe,mbagala kuu ,mgeni nani vikunai,bahari ipo
👍👍Mleta mada unajua maana ya "Fukwe"? Sehemu inakuwaje na fukwe ikiwa hakuna waterbodies kama Bahari, Ziwa n.k? Kwani kariakoo kuna fukwe?
Pili mbagala inakuwaje na Hotel za kitalii ikiwa maeneo ya mbagala hayana vivutio vya kitalii kama mbuga za wanyama, maeneo ya kihistoria au sehemu za makumbusho n.k? Au unadhani hotel za kitalii zinajengwa mahali popote tu ili kufurahisha wenye upeo mdogo wa kufikiria kama wewe?
Unalamikia mbagala kuwa na msongamano umewahi kujiuliza msongamano wa magari unasababishwa na nini?
Ngoja nikusaidie mdogo wangu, ukiona sehemu ina msongamano wa magari ujue hakuna uwiano bora wa miundombinu ya usafiri na idadi ya vyombo vya usafiri vilivyopo. Ndiyo maana Serikali inapambana kufanya upanuzi wa barabara maeneo mbalimbali ili kuwe na miundombinu inayoweza kuratibu wingi wa vyombo vya usafiri vinavyotumia njia husika.
Hata maeneo kama ubungo, mwenge, tazara kulikuwa kuna changamoto ya msongamano wa magari kabla njia hizo hazijaboreshwa miundo mbinu ya barabara.
Pumbavu kumbe unakaa mbagala kwa wajingaWewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.
Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.
Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?