ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.
Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.
Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya