Kwanini Mbagala haina hoteli ya kitalii au fukwe?

Kwanini Mbagala haina hoteli ya kitalii au fukwe?

Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.

Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.

Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?
Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.

~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?

Waku karibuni tujadili.
KImara na Madale kuna fukwe ngapi mkuu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.

~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.

Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?

Wakuu karibuni tujadili.
uku tunakaa wabeba tofar
 
Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya
Mamdogo jikite kwenye hoja acha mipasho. Wengine hatutumii hiyo bidhaa yako.

Taja kilichokosewa hapo we choko.
 
D
Kij

Pumbavu kumbe unakaa mbagala kwa wajinga
Sasa umeshaujua mji kidogo bwana mdogo?
Siku nyingine utachekwa. Nimesema huwa natokea Chekechea mikwambe sasa kama huko ndio mbagala basi waambie wakupe hela hao wanaokuelekeza.
 
Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya
Kanifurahisha anabisha Kwa confidence Kijichi hamna bahari ,hii nchi ngumu sana😅😅🤦
 
Back
Top Bottom