youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
-
- #21
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm
bado tuko kwenye kabumbu, yatapasa kupitia kandanda,mpira ndo tufikie hatua ya soka. bado sana mkuuHivi Tanzania tunacheza soka au mpira? Naombw nianzie hapo kwanza
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm
ok for this point nakubali, kwamba visiwani nako inatoka moja ni sahihi.
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan
Usidanganyike Mkuu, TFF wamefanya madudu!
Tanzania Bara ni mwanachama wa CECAFA, kwa kuwa ni mwenyeji zilitakiwa timu 3 zishiriki viz. Azam, Yanga na MCC.
Zanzibar ni mwanachama wa CECAFA hivyo KMKM inaiwakilisha Zanzibar kama vile Kenya inavyowakilishwa na Gor Mahia etc.
Jamal Malinzi tueleze kwa nini timu 2 tu zinashiriki badala ya 3?
Acha kupotosha....
Zanzibar ni mwanachama wa CAF na CECAFA...Zanzibar miaka yote wanaenda kushiriki CECAFA na CAF(ngazi ya klabu) kama wanachama huru...Hawaendi kwa jina la Tanzania...
Hivyo kusema nafasi wamepewa KMKM ni upotoshaji..
Tatizo la TFF na CECAFA ni kuangalia maslahi zaidi kuliko maendeleo ya mpira...
CECAFA walitaka kuwaruhusu Simba ili wapige hela za mapato ya viingilio...
Jamani visiwani si wana nafasi yao?
back kwenye kichwa cha habari mbeya city ni team mbovuuuu ndo sababu haipo...ila mwaka huu aijui wametumia vigezo vip kuchagua team aisee...maana naona ata mnyama hayupo.
KMKM hajaingia kwa hisani ya CECAFA walk TFF, ameingia kwa kuwa ni bingwa wa Zanzibar ambayo ni mwanachama mwanzilishi wa CECAFA. Ndio maana Zanzibar huwa mara kadhaa inaandaa mashindano ya CECAFA kama haya ya Klabu Bingwa, Challenge (tangu enzi za Gossage) n.k.Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan
ishu kama hii uongozi wa MCC ulitakiwa ugangamale. sema utakkuta viongozi wamezimwa wasiifuatilie.Usidanganyike Mkuu, TFF wamefanya madudu!
Tanzania Bara ni mwanachama wa CECAFA, kwa kuwa ni mwenyeji zilitakiwa timu 3 zishiriki viz. Azam, Yanga na MCC.
Zanzibar ni mwanachama wa CECAFA hivyo KMKM inaiwakilisha Zanzibar kama vile Kenya inavyowakilishwa na Gor Mahia etc.
Jamal Malinzi tueleze kwa nini timu 2 tu zinashiriki badala ya 3?
Hawana uwezo kule sio kulima mpunga wala viazi ule no mpira