Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 616
mkuu kwanini CECAFA iliwaandikia barua simba ya kuwaomba washiriki mashindano? kwa hiyo zingeshiriki timu 4?Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm
TFF ni genge la majizi kama lilivyo FIFA