Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 616 Jul 3, 2015 #41 mwacheni77 said: Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm Click to expand... mkuu kwanini CECAFA iliwaandikia barua simba ya kuwaomba washiriki mashindano? kwa hiyo zingeshiriki timu 4? TFF ni genge la majizi kama lilivyo FIFA
mwacheni77 said: Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm Click to expand... mkuu kwanini CECAFA iliwaandikia barua simba ya kuwaomba washiriki mashindano? kwa hiyo zingeshiriki timu 4? TFF ni genge la majizi kama lilivyo FIFA
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Jul 4, 2015 #43 Gwankaja Gwakilingo said: mkuu kwanini CECAFA iliwaandikia barua simba ya kuwaomba washiriki mashindano? kwa hiyo zingeshiriki timu 4? TFF ni genge la majizi kama lilivyo FIFA Click to expand... Kwa niaba ya Raisi wa TiFF tulitaka Sīmbâ ishiriki ili tuvune pesa za kiingilio kwa ajili ya familia zetu bahati mbaya imeshindikana!
Gwankaja Gwakilingo said: mkuu kwanini CECAFA iliwaandikia barua simba ya kuwaomba washiriki mashindano? kwa hiyo zingeshiriki timu 4? TFF ni genge la majizi kama lilivyo FIFA Click to expand... Kwa niaba ya Raisi wa TiFF tulitaka Sīmbâ ishiriki ili tuvune pesa za kiingilio kwa ajili ya familia zetu bahati mbaya imeshindikana!
youngsharo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,491 Reaction score 500 Jul 4, 2015 Thread starter #44 simanyane said: Kama sio mpunga ilikuwaje waliifunga timu yako tena hapohapo kwenu Click to expand... hawa ndo maana huwa wanaitwa mambumbumbu.
simanyane said: Kama sio mpunga ilikuwaje waliifunga timu yako tena hapohapo kwenu Click to expand... hawa ndo maana huwa wanaitwa mambumbumbu.
youngsharo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,491 Reaction score 500 Jul 4, 2015 Thread starter #45 Kitimoto said: Kwa niaba ya Raisi wa TiFF tulitaka Sīmbâ ishiriki ili tuvune pesa za kiingilio kwa ajili ya familia zetu bahati mbaya imeshindikana! Click to expand... hapo sawa.
Kitimoto said: Kwa niaba ya Raisi wa TiFF tulitaka Sīmbâ ishiriki ili tuvune pesa za kiingilio kwa ajili ya familia zetu bahati mbaya imeshindikana! Click to expand... hapo sawa.