Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Wana Jamvi kuna kitu napenda niwaeleze nanyi mfaidi ila nipate kwanza maoni ya wengi,
Hivi ni kwanini ukipika chakula ukifunika vizuri tu bila ya kuweka kwenye friji zaidi sana kwa miji yenye joto ikifika asubuhi inaharibika au inakuwa kama inataka kuharibika, tuache swala la kusema hukuifadhi vizuri maana lolote laweza likatokea.
Naomba maoni yenu