Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pika usiku tuone kitaharibika usiku huo huo au kesho yake mchana!Wana Jamvi kuna kitu napenda niwaeleze nanyi mfaidi ila nipate kwanza maoni ya wengi,
Hivi ni kwanini ukipika chakula ukifunika vizuri tu bila ya kuweka kwenye friji zaidi sana kwa miji yenye joto ikifika asubuhi inaharibika au inakuwa kama inataka kuharibika, tuache swala la kusema hukuifadhi vizuri maana lolote laweza likatokea.
Naomba maoni yenu