Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hapana mchana sidhani maana hata ukiweka sehem tulivu mfano, funga nyumba wote mtoke na madirisha mfunge hapo ndani tayari ni tulivu na hamna magari au nini lakini mkirudi jioni mtakuta iko safi hakijachacha ila mkuu usiku sasa hapo ndio shughulinahisi utulivu wa usiku unawapa muda mzuri bakteria kufanya mashambulizi kwa kasi, kuliko mchana zile pilika za hapa na pale zinawanyima amani?
Swali: je ukiweka chakula sehemu tulivu muda wa mchana napo kitachacha kwa kasi sawa na kile cha usiku (kwenye utulivu )
jibu: hata mini nashangaa!!
unafikiri usiku watu wakilala kuna mizimu ya mababu au ma bibi yanakuja kula au kupata chochote kwakuwa wote tumepumzika au ndio muda wao kuja kututembelea na kufaidi tulichokula, wazazi wengine husema hawawezi kulala bila maji ndani chumbani, sebuleni au jikoni maji lazima yawepo hata kidogo tu.Zinakuwa zimerambwa na mababu
jua linalinda chakula mchana kwa hiyo uwepo wake mchana ndio hufanya chakula kisiharibike kweliJua ndio linalinda chakula,
mshana jrZinakuwa zimerambwa na mababu
Wana Jamvi kuna kitu napenda niwaeleze nanyi mfaidi ila nipate kwanza maoni ya wengi,
Hivi ni kwanini ukipika chakula ukifunika vizuri tu bila ya kuweka kwenye friji zaidi sana kwa miji yenye joto ikifika asubuhi inaharibika au inakuwa kama inataka kuharibika, tuache swala la kusema hukuifadhi vizuri maana lolote laweza likatokea.
Naomba maoni yenu
Tuseme mwanga wa mchana ndio ulinda chakula wala sio jua, kuna sehemu jua uonekana baada ya siku 3 hivjua linalinda chakula mchana kwa hiyo uwepo wake mchana ndio hufanya chakula kisiharibike kweli
Sasa unautenga vipi mwanga wa mchana na jua?ni kitu kimoja!Tuseme mwanga wa mchana ndio ulinda chakula wala sio jua, kuna sehemu jua uonekana baada ya siku 3 hiv
ama kweliUsiku ndio mda mzuri kwa wachawi kutembea hivyo basi wakati wakipita wanadokoa na mboga na ndo chanzo cha kuharibika hicho.