MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Yes, Kama ilivyokuwa NCCR back then 95'sKipindiki kile CUF ilikuwa chama Cha upinzani chenye nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, Kama ilivyokuwa NCCR back then 95'sKipindiki kile CUF ilikuwa chama Cha upinzani chenye nguvu
mbowe ni kilaza fulani tu pamoja na wanaomuita mwamba nao vilaza wewe kweli wa kupigwa hivyo na haruna? halafu wanatokea wapuuzi fulani wanaita mwamba shame on them
atakuwaje mbowe wakati kura zake kama chakula cha kuku tu mwamba mavi huyo hana kituUchaguzi wa 2005 ulikuwa wa kwanza kwa Mbowe na wa tatu kwa Lipumba.
Hivyo Lipumba alikuwa ana base hasa Zanzibar kuliko Mbowe. Ingawa kwa macho the main competitor wa Kikwete alikuwa Mbowe.
Kuunga mkono au Rushwa ya shetani magufuri?Makatibu wakuu wote wamerudi CCM kuanzia Dr Walid Kaburu, Dr Wilbroad Slaa na Dr Mashinji
Wagombea Urais wawili wamerudi CCM
Wakati wa mwenda zake Viongozi wa Chadema waliongoza kwa kuunga mkono Juhudi kuliko chama chochote cha Upinzani
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake Halima Mdee yupo Bungeni na wanawake wenzie 19
Pamoja na gogoro lote la Zitto na Chadema miaka hiyo lakin bado Chadema ilikuwa inapendekeza jina la Zitto kwenda PAC na Wabunge wa CCM wakawa wanabariki pendekezo hilo
Endelea kuamini unayopaswa kuamini kwa kuwa Movie zinaandaliwa kwa ustadi mkubwa sana ili ukiitazama uone kama 'True story'
Kuunga mkono au Rushwa ya shetani magufuri?
mbowe ni kilaza fulani tu pamoja na wanaomuita mwamba nao vilaza wewe kweli wa kupigwa hivyo na haruna? halafu wanatokea wapuuzi fulani wanaita mwamba shame on them
Rushwa ni adui wa haki je yule Mungu wa Chato aliliamini hilo?Vyovyote utavyoita ila ukweli ni kuwa walisaliti Chama chao
Rushwa ni adui wa haki je yule Mungu wa Chato aliliamini hilo?
Mbowe alipata 5% ya Tanzania YOTE lakini kwa undani zaidi alipta karibu 90% mkoa fulani na 0% mikoa 17. Lipumba alipata11% za TANZANIA yote lakini 89% Pemba na 29% Temeke.Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika uchaguzi wa rais na mgombea mwenzake ndg Lipumba.
Katika uchaguzi huo Mbowe alipata kura asilimia 5 pekee huku Lipumba akipata 11%. Kwa lugha nyepesi ulikuwa unaitaji watu wawili wenye uelewa, uchambuzi wa mambo, ujengaji wa hoja, akili nk ili kumpata Lipumba mmoja.
Swali ninalojiuliza kila siku katika watu wote duniani ilikuwaje Mbowe akapitwa kiasi kile na Lipumba. Sijauliza Kikwete ambaye alipata zaidi ya 80 % ambazo zilimfanya Mbowe kumheshimu sana Kikwete.
Labda!!!mwamba since day one yaani 2005 anazidi kuisumbua ccm hadi sasa; pongezi nyingi sana kwake
Mbowe,Mbatia, Lyatonga, Cheyo, Zitto na Lipumba wanatofautiana maeneo tu wanayopaswa kucheza kwny Movie ya Siasa za vyama vingi Tanzania iliyoanzishwa 1992
Vijana pambaneni mtoke kwny kuishi maisha ya ufukara badala ya kutegemea sana Wanasiasa
Kwny Kitabu cha Maisha ya Mzee Ally Hassan Mwinyi anasema walipokuwa wanakabiliwa na shiinikizo la Wahafidhina kupinga mfumo wa vyama vingi pia walikuwa wanakabiliwa na shinikizo la nje la kutaka mfumo huo uruhusiwe
Walikutana Ally Hassan Mwinyi, John Samwel Malecela na Gwiji Hayati Kingunge Ngombale Mwiru…Mwiru akawashauri bora waanzishe hilo li mfumo bila ya kusubiri shinikizo kuzidi kwa kuwa watakuwa kwny position nzuri ya kuuratibu na kuukarabati na kuuuendesha kwa 'Maslahi mapana ya Nchi'
Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika uchaguzi wa rais na mgombea mwenzake ndg Lipumba.
Katika uchaguzi huo Mbowe alipata kura asilimia 5 pekee huku Lipumba akipata 11%. Kwa lugha nyepesi ulikuwa unaitaji watu wawili wenye uelewa, uchambuzi wa mambo, ujengaji wa hoja, akili nk ili kumpata Lipumba mmoja.
Swali ninalojiuliza kila siku katika watu wote duniani ilikuwaje Mbowe akapitwa kiasi kile na Lipumba. Sijauliza Kikwete ambaye alipata zaidi ya 80 % ambazo zilimfanya Mbowe kumheshimu sana Kikwete.
Walikuwa hawana nguvu.
Hata mnyika alikuja mansese kufanya kampeni uchaguzi huo watu hawakujaa tulimchukulia Kama underground
Sikuwahi kufikiria kuwa una upumbavu mwingi kiasi hikiLeo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika uchaguzi wa rais na mgombea mwenzake ndg Lipumba.