Kwanini Mbowe aligaragazwa vibaya kiasi kile na Lipumba Uchaguzi wa 2005?

Chadema ilikuwa ni mara yao ya kwanza kusimamisha mgombea, pia kama chama hawakuwa na relevance kivile... Hata Mrema na TLP walikuwa juu kuliko wao.
Kwa chaguzi za Tanzania chama kingine kupata asilimia 5 ni hatua kubwa sana, na kulikuwa na juhudi kubwa nyuma yake, nadhani ndio ilikuwa mara ya kwanza kuona mgombea urais anazunguka na Chopa.

Kitaalamu yale yalikuwa ni mafanikio makubwa sana, hata kwenye mambo ya Ubunge na Udiwani walifanya vizuri pia, comparatively.
 
mbowe ni kilaza fulani tu pamoja na wanaomuita mwamba nao vilaza wewe kweli wa kupigwa hivyo na haruna? halafu wanatokea wapuuzi fulani wanaita mwamba shame on them

Uchaguzi wa 2005 ulikuwa wa kwanza kwa Mbowe na wa tatu kwa Lipumba.

Hivyo Lipumba alikuwa ana base hasa Zanzibar kuliko Mbowe. Ingawa kwa macho the main competitor wa Kikwete alikuwa Mbowe.
 
Uchaguzi wa 2005 ulikuwa wa kwanza kwa Mbowe na wa tatu kwa Lipumba.

Hivyo Lipumba alikuwa ana base hasa Zanzibar kuliko Mbowe. Ingawa kwa macho the main competitor wa Kikwete alikuwa Mbowe.
atakuwaje mbowe wakati kura zake kama chakula cha kuku tu mwamba mavi huyo hana kitu
 
Kuunga mkono au Rushwa ya shetani magufuri?
 
Kilaza kama wewe siyo,mwenzio alijifanya kuwa ndiye Tanzania,Tanzania ameiacha salama pamoja na ngojera zote kuwa bila yeye Tanzania haiwezi songa,chawa wake mnahangaika kwa vile kule mlikozoea kunyonya damu hakupo tena.
mbowe ni kilaza fulani tu pamoja na wanaomuita mwamba nao vilaza wewe kweli wa kupigwa hivyo na haruna? halafu wanatokea wapuuzi fulani wanaita mwamba shame on them
 
Mbowe alipata 5% ya Tanzania YOTE lakini kwa undani zaidi alipta karibu 90% mkoa fulani na 0% mikoa 17. Lipumba alipata11% za TANZANIA yote lakini 89% Pemba na 29% Temeke.
 
Tokea uchaguzi wa vyama vingi unaanza Chadema ilikua haijawahi kusimamisha mgombea hata mara moja, mara zote ilikua ikiunga mkono mgombea wa chama kingine cha upinzani mwenye nguvu, mwaka 1995 waliunga mkono NCCR Mageuzi ya Mrema na mwaka 2000 waliunga mkono CUF na Lipumba, Lipumba hu uchaguzi ulikua mara yake ya 3 while Mbowe kwanza alikua ndio mwenyekiti kijana na ndio alikua kaanza kuchomoza kwenye siasa za kiushindani, chama chake as well. Heshima kwake Mbowe na Chadema yake kwasababu Mrema hakudumu na umaarufu wake baada tu ya uchaguzi, yaani mwaka 1998 chama chake kilikabidhiwa kwa bwana mama Tanzania to date, hakijawahi kusimama. Lipumba nae baada ya uchaguzi wa 2000 alipoteza umaarufu hadi leo, mwamba since day one yaani 2005 anazidi kuisumbua ccm hadi sasa; pongezi nyingi sana kwake
 

Ila wakashindwa kuiratibu CHADEMA mpaka leo. Ndio maana Nyerere alisema katika vyama vyote hakuna Kama CHADEMA.
 

Kwenye ule uchaguzi wagombea wakuu walikuwa Kikwete na Mbowe. Lipumba alibebwa na kura za Zanzibar. Na kupitia uchaguzi ule CHADEMA kupitia Mbowe walijitambulisha rasmi Kama mbadala wa CCM. Kumbuka mwaka 2000 CHADEMA waliiunga mkono CUF kwenye mgombea urais.
 
Sikuwahi kufikiria kuwa una upumbavu mwingi kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…