Kwanini Mbowe aligaragazwa vibaya kiasi kile na Lipumba Uchaguzi wa 2005?


Lipumba alikuwa ana base tangu 1995.
 
mbowe ni kilaza fulani tu pamoja na wanaomuita mwamba nao vilaza wewe kweli wa kupigwa hivyo na haruna? halafu wanatokea wapuuzi fulani wanaita mwamba shame on them

Unataka kumlinganisha Mbowe aliyeingia kwa Mara ya Kwanza na Lipumba aliyekuwa anagombea kwa Mara ya tatu?
 
atakuwaje mbowe wakati kura zake kama chakula cha kuku tu mwamba mavi huyo hana kitu

Yani wewe una shida. Mbowe kagombea mara ya Kwanza kapata 5% wakati Lipumba kagombea mara tatu kapata 11%. Kimahesabu Lipumba ndio kashuka.
 
Vyovyote utavyoita ila ukweli ni kuwa walisaliti Chama chao

Hawakusaliti walishurutishwa. Hata Mbowe alipewa kesi ya ugaidi na Lissu kulimwa risasi baada ya kukataa kukisujudia chama Cha mambuzi.
 

Hayo ni mawazo ya kujifariji, ila ipo siku mtaondoka tu.
 
Hawakusaliti walishurutishwa. Hata Mbowe alipewa kesi ya ugaidi na Lissu kulimwa risasi baada ya kukataa kukisujudia chama Cha mambuzi.
Ndio mlivyo manyumbu mnamuona Mbowe kama Mungu mtu anakula maruzuku nyie mnapiga makelele mitandaoni kawekwa ndani na mtu mwingine lawama mnazipeleka kwa Magufuli kwa vile mmelambishwa asali mnaona tumpeleke Magufuli lawama asiyeweza kuwajibu wala kujitetea
 
Mikakati yake ni mibovu...

Mikakati ya 2005?. Wakati ndipo alianzisha chopa Kama usafiri na salamu ya people's. Huku vazi la combat likichukua nafasi. Ule uchaguzi ndio uliutangaza CHADEMA rasmi kwenye siasa za bongo mpaka Leo sidhani Kama Kuna wa kusatoa.
 
Mbowe alipata 5% ya Tanzania YOTE lakini kwa undani zaidi alipta karibu 90% mkoa fulani na 0% mikoa 17. Lipumba alipata11% za TANZANIA yote lakini 89% Pemba na 29% Temeke.

Sio kweli
 

Nyumbu mwenyewe. Nani kamtaja Magufuli. Umeniuliza nimekwambia serikali ya CCM. Usipende mazoea na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…