chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi.
Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake.
Kaskazini? Huko wala haina haja ya kuuliza, kitapita kimbunga ambacho dunia haijawahi ona.
Kanda ya ziwa? Wenje ataongoza kikosi cha maangamizimaangamizi ambacho kitamsokota Lissu bila huruma.
Lissu alipita kanda ya serengeti akitafuta kura za wakwe, lakini bado upepo hauko vizuri. Amemlilia sana Heche amuunge mkono lakini Heche kaamua kubaki neutral.
Lissu atabeba kidogo kanda ya kati kwa walima alizeti wenzake. Narudia, kidogo, halafu mchezo umekwisha