Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?

Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?

Anakenua tu…

Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.

7EA795D7-2150-4B25-A42D-413C336BDD80.jpeg
 
Hilo TU ndio unataka,ataa vaa,ila hata hujui wapi panatakiwa suti na wapi pa ti sheti
 
Kamuulize mama na kinana anafanya nao mazungumzo, pia zipo zinazotoka kwa ajili ya chawa wa lumumba.
 
Mwanausalama flani pale uwanja wa Kirumba alikataa katakata Pambalu na wenzie kuingia uwanjani na t-shet za katiba mpya mpaka walipobadilisha ndo wakaruhusiwa.
 

Attachments

  • A227AF8E-19AC-4418-AA73-86F0F69B5CBF.jpeg
    A227AF8E-19AC-4418-AA73-86F0F69B5CBF.jpeg
    39.6 KB · Views: 16
Hilo TU ndio unataka,ataa vaa,ila hata hujui wapi panatakiwa suti na wapi pa ti sheti
Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. 👋🏿😁 Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.
 
Uwe na akili kidogo sasa na weye!Havai Ila anahubiri na kuitaka katiba mpya. Kwani ninyi CCM mnavyowagawia mazezeta tisheti zenu wakati wa kampeni huwa wanakijua chama chenu kwamba ni majizi?
 
Kuna kitu kinaitwa dressing code ndugu, na ndiyo maana huwezi kuvaa bukta ukweni au wewe unaweza ?
 
Punguza chuki na wivu
Tunafahamu hampendi kusikia haya lakini ni lazima tuambiane Ukweriii

Mfalme ataishia kama Lyatonga Mrema, Prof. Ibrahim Lipumba na John Momose Cheyo.
 
Back
Top Bottom