Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwanini Kinana havai Tshirt ya ''Mama anaupiga Mwingi''?
Hahahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Kinana havai Tshirt ya ''Mama anaupiga Mwingi''?
Nyie lazima roho iwaume kwani ule mpango wenu wa kumweka gerezani ulibumaMfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. 👋🏿😁 Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.
Mbowe Hana Bei we msg gang. Juzi ulikuwa unasema Mbowe gaidi, saiz unasema MSALITI!!!!Wanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.
Hawakubadili nguo, police walinywea.Mwanausalama flani pale uwanja wa Kirumba alikataa katakata Pambalu na wenzie kuingia uwanjani na t-shet za katiba mpya mpaka walipobadilisha ndo wakaruhusiwa.
Kama wameshakubaliana mission imekamilika Sasa!!!hakuna haja ya mabadiliko mengine Yale!!!Mbowe Hana Bei we msg gang. Juzi ulikuwa unasema Mbowe gaidi, saiz unasema MSALITI!!!!
.Wameshakubaliana mchakato unaanza soon, Rasimu alosimamia WARIOBA inarudi mezani, Katiba mpya tunapata 2026. Amen
Allah's warrior again!Wanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.
zinapatikana wapi tununue tuvaeWanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.
Hao wawili ni manabii wa uongo, ni waumini wa mungu mammon.Kama wameshakubaliana mission imekamilika Sasa!!!hakuna haja ya mabadiliko mengine Yale!!!
Naona Lusekelo na Mwamposa wanampaisha Sana ili ionekane nae ni chaguo la mbinguni!!
Wafanyakazi Wana hofu Anaweza akaja mtu ambaye hatojali maslahi yao kama Huyu aliepo kitini bado Wana hangover ya miaka 7 ya madaraja kutopanda KWENYE mishahara!!
MkuuHao wawili ni manabii wa uongo, ni waumini wa mungu mammon.
#MboweSioGaidiWanaukumbi.
Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya?
Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa?
Anakenua tu…
Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa Bavicha wanalazimisha kuingia uwanjani na T-Shirts zao za Katiba Mpya hawafahamu kama Fifa wa wamepiga marufuku kufanya siasa kwenye viwanja vya mipira.
Kupanda Kwa Bei ya mafuta na bidhaa mbalimbali na mikopo isiyo na kikomo ni moto wa kifuu Kwa utawala huu, hauKama wameshakubaliana mission imekamilika Sasa!!!hakuna haja ya mabadiliko mengine Yale!!!
Naona Lusekelo na Mwamposa wanampaisha Sana ili ionekane nae ni chaguo la mbinguni!!
Wafanyakazi Wana hofu Anaweza akaja mtu ambaye hatojali maslahi yao kama Huyu aliepo kitini bado Wana hangover ya miaka 7 ya madaraja kutopanda KWENYE mishahara!!
Mkuu
Kumbe tushaingiliwa na ma mommon nchini!!?
Mi nilijua wamomon wapo ulaya tu na humu wamo!!?
Unamtishia AISEH
Kwa hiyo wanalipwa sio kwa KAZI maalum!!?
Imashangaza!
Mungu mammon anahusika kuleta utajiri BANDIA Kutoka Kuzimu, wanawapeleka watu upotevuni maelfu Kwa maelfu, soon wataanza kuondoka mmoja baada ya mwingine. AmenMkuu
Kumbe tushaingiliwa na ma mommon nchini!!?
Mi nilijua wamomon wapo ulaya tu na humu wamo!!?
Unamtishia AISEH
Kwa hiyo wanalipwa sio kwa KAZI maalum!!?
Imashangaza!
Sugu jana hakumuweka kwenye ratiba yoyote Mbowe, ndiyo maana kwenye utambulisho hukumskiamleta mada kawehuka au?
kwani kudai katiba ni uadui? wewe mzima kweli?!Sugu jana hakumuweka kwenye ratiba yoyote Mbowe, ndiyo maana kwenye utambulisho hukumskia
Mama akamwambia "Joseph Why Freeman hayuko katika ratiba, nikienda kuzindua Kitabu lazima awepo mbele, ni Kiongozi wako yule MPENDANE"
Sugu : Sawa Mama NISAMEHE
Huku nyumba wanadai katiba.
😅
Mikopo ya holela, mfumuko wa Bei ya bidhaa ni moto wa kifuu Kwa utawala huu, hauzimi Leo Wala kesho.Kama wameshakubaliana mission imekamilika Sasa!!!hakuna haja ya mabadiliko mengine Yale!!!
Naona Lusekelo na Mwamposa wanampaisha Sana ili ionekane nae ni chaguo la mbinguni!!
Wafanyakazi Wana hofu Anaweza akaja mtu ambaye hatojali maslahi yao kama Huyu aliepo kitini bado Wana hangover ya miaka 7 ya madaraja kutopanda KWENYE mishahara!!
Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. 👋🏿😁 Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.kwani kudai katiba ni uadui? wewe mzima kweli?!
Weka ushahd we msoga gangSugu jana hakumuweka kwenye ratiba yoyote Mbowe, ndiyo maana kwenye utambulisho hukumskia