Kwanini Mbowe havai T-Shirts za Katiba Mpya?

Mbowe ni kijana? Sio mara moja au mbili Mbowe amekuwa akivalia t-shirt ya katiba mpya. Sema ukitaka awe amevalia hiyo t-shirt hapo kwenye hiyo hafla, na ingetokea amevaa hiyo t-shirt hapo, lazima ungeponda tu. Kama t-shirt kuvaliwa kwenye mechi derby imekiuka, je ingevaliwa kwenye party si ungekunywa sumu?
 
Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ๐Ÿ˜ Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.
Nyie lazima roho iwaume kwani ule mpango wenu wa kumweka gerezani ulibuma
 
Mbowe Hana Bei we msg gang. Juzi ulikuwa unasema Mbowe gaidi, saiz unasema MSALITI!!!!

.Wameshakubaliana mchakato unaanza soon, Rasimu alosimamia WARIOBA inarudi mezani, Katiba mpya tunapata 2026. Amen
 
Mwanausalama flani pale uwanja wa Kirumba alikataa katakata Pambalu na wenzie kuingia uwanjani na t-shet za katiba mpya mpaka walipobadilisha ndo wakaruhusiwa.
Hawakubadili nguo, police walinywea.
 
Mbowe Hana Bei we msg gang. Juzi ulikuwa unasema Mbowe gaidi, saiz unasema MSALITI!!!!

.Wameshakubaliana mchakato unaanza soon, Rasimu alosimamia WARIOBA inarudi mezani, Katiba mpya tunapata 2026. Amen
Kama wameshakubaliana mission imekamilika Sasa!!!hakuna haja ya mabadiliko mengine Yale!!!

Naona Lusekelo na Mwamposa wanampaisha Sana ili ionekane nae ni chaguo la mbinguni!!

Wafanyakazi Wana hofu Anaweza akaja mtu ambaye hatojali maslahi yao kama Huyu aliepo kitini bado Wana hangover ya miaka 7 ya madaraja kutopanda KWENYE mishahara!!
 
Allah's warrior again!
 
zinapatikana wapi tununue tuvae
 
Hao wawili ni manabii wa uongo, ni waumini wa mungu mammon.
 
Hao wawili ni manabii wa uongo, ni waumini wa mungu mammon.
Mkuu

Kumbe tushaingiliwa na ma mommon nchini!!?

Mi nilijua wamomon wapo ulaya tu na humu wamo!!?

Unamtishia AISEH

Kwa hiyo wanalipwa sio kwa KAZI maalum!!?
Imashangaza!
 
Hii la Mbowe kuwa Close ally na Bi mkubwa haliwashtui Team fisi? Vipi mama akiamua kuachia nchi wapinzani 2025? Hata kenyata ns RAO walianza ivi ivi leo RAO is about to become The 5th
 
#MboweSioGaidi
 
Kupanda Kwa Bei ya mafuta na bidhaa mbalimbali na mikopo isiyo na kikomo ni moto wa kifuu Kwa utawala huu, hau
Mkuu

Kumbe tushaingiliwa na ma mommon nchini!!?

Mi nilijua wamomon wapo ulaya tu na humu wamo!!?

Unamtishia AISEH

Kwa hiyo wanalipwa sio kwa KAZI maalum!!?
Imashangaza!

Mkuu

Kumbe tushaingiliwa na ma mommon nchini!!?

Mi nilijua wamomon wapo ulaya tu na humu wamo!!?

Unamtishia AISEH

Kwa hiyo wanalipwa sio kwa KAZI maalum!!?
Imashangaza!
Mungu mammon anahusika kuleta utajiri BANDIA Kutoka Kuzimu, wanawapeleka watu upotevuni maelfu Kwa maelfu, soon wataanza kuondoka mmoja baada ya mwingine. Amen
 
mleta mada kawehuka au?
Sugu jana hakumuweka kwenye ratiba yoyote Mbowe, ndiyo maana kwenye utambulisho hukumskia

Mama akamwambia "Joseph Why Freeman hayuko katika ratiba, nikienda kuzindua Kitabu lazima awepo mbele, ni Kiongozi wako yule MPENDANE"

Sugu : Sawa Mama NISAMEHE

Huku nyumba wanadai katiba.

๐Ÿ˜…
 
kwani kudai katiba ni uadui? wewe mzima kweli?!
 
Mikopo ya holela, mfumuko wa Bei ya bidhaa ni moto wa kifuu Kwa utawala huu, hauzimi Leo Wala kesho.
 
kwani kudai katiba ni uadui? wewe mzima kweli?!
Mfalme wa Ufipa anaona raha sana kupiga picha na watawala. ๐Ÿ‘‹๐Ÿฟ๐Ÿ˜ Yaaani huwa anakenua hadi jino la mwisho.

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘‰๐Ÿฝtunafahamu hampendi kusikia haya lakini ni lazima tuambiane Ukweriii ๐Ÿ˜

๐Ÿ‘‰๐ŸฝMfalme ataishia kama Lyatonga Mrema, Prof. Ibrahim Lipumba na John Momose Cheyo.
 
Weka ushahd we msoga gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ