Kwanini Mbowe kila ukikaribia uchaguzi mkuu anaanza vituko? 2010 alimlazimisha Dkt. Slaa agombee urais 2015 akamleta Lowassa na sasa....!

Kwanini Mbowe kila ukikaribia uchaguzi mkuu anaanza vituko? 2010 alimlazimisha Dkt. Slaa agombee urais 2015 akamleta Lowassa na sasa....!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau.

Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais.

Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA ghafla Mbowe akamleta Lowassa wa CCM na kuvuruga mipango yote.

2020 wakati wabunge wangependa kulitumia bunge kwa mara ya mwisho kuonyesha uimara wao na ushawishi kwa wananchi kama alivyofanya Sugu alipochangia kuhusu Corona, yeye Mbowe kawatoa bungeni na sasa wanazunguka zunguka tu mitaani kana kwamba Corona iko bungeni tu.

Hivi kama siyo vituko vya " makusudi" ni nini?

Mdogo wangu Prof Jay amka toka usingizini..,...nadhani umenielewa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tunaambiwa Mbowe ni mtoto wa mfumo baba wale wavaa suti nyeusi

Siku akifa tutaona wanakitengo alwatakovyebaba jeneza lake
 
Alishatoa namba ya WhatsApp anayopatikana, muwasapie Mkuu! Afu utatusaidia mrejesho! Kila la kheri katika chat zako na KUB!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini wapo wabunge wengi chadema walitamani kusalia bungeni kama wale waliopinga utoto wa mbowe lakini wanaogopa kuitwa wasaliti na kubaki kuumia chini chini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ni msela ni dj huku kwenye Siasa amekuja kusimamia mali ya familia tu
 
Wabunge wa chadema wanajiweka karantini kwa manufaa ya nani?
 
Hueleweki ni wa class gani kwa kuwa unaelewa ktk chama chenu ni mtu mmoja ndio huamua unafikiri na vyama vyote ni kama chenu? Yy ni msemaji wa chama baada ya maamuzi ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka aendelee kukaa mjengoni wakati unajua fika kabisa kwamba yule Kumi na tisa nineteen kashatinga njengoni.....ili iweje?

Na kama kiongozi ulitaka akae kimya tu aendelee kusifu na kuabudu bila kuchukua tahadhari kwa anao waongoza?

Unajua maana ya kuwa kiongozi?
 
Mtu ni yuel yule Mara ...B...F...L,, Z , Hauoni Haibu Kuleta Nyuzi Zisizokuwa na Logic then unaanza \kucomments na kujijibu Mwenyewe..Pathetic
 
Back
Top Bottom