Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Mara nyingi, unapokua mlemavu na ukakosa elimu huwa kila utakalotendewa utahisi unaonewa, sawa na mtoto yatima, ukiishi nae mara nyingi kila utakalofanya atahisi unamuonea, kuhusu Msukuma nadhani anapoona elimu yake ndogo na anapata kila atakacho, na kuna wasomi wanamlilia shida kila siku lazima ataona kupata pesa ni ujanja wake na elimu haina faida.nimesikiliza kwa makini wakati mbunge msukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara. hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa kariakoo....
Haina majibu hiyo.Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Kwa sababu anaamini ana pesa, ila ni mjinga tu kama wajinga wengineNimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Kabisa!. Fikiria msomi kama Lisu anaamisha watu kwamba yeye akichaguliwa kuwa rais ndio tatizo la ajira litaisha wakati bibi yako kapambana bila hata Lisu kuwa mwenyekiti wake wa kitongoji na amewasomesha!Nchi hii hakuna wasomi. Msukuma yuko sahihi kabisa
Wasomi ndiyo wanapiga kelele kuilalamikia serikali juu ya ukosefu wa ajira. Tulitegemea wao ndiyo watatuzi wa tatizo hili badala yake wao ndiyo wanalikuza.
Bibi yangu maisha yake yote anaishi kwa kupambana na ametulea. Hawa wasomi uchwara hawana jipya mtaani
Hahaha! Mkuu imenibidi nicheke tu, maana umenitukana kifasihi. Asante kwa mitusi.Kabisa!. Fikiria msomi kama Lisu anaamisha watu kwamba yeye akichaguliwa kuwa rais ndio tatizo la ajira litaisha wakati bibi yako kapambana bila hata Lisu kuwa mwenyekiti wake wa kitongoji na amewasomesha!
summed it up all............inferiority complex tu zinamsumbua.
Inasemekana Msukuma ametoboa maisha kwa njia ya wizi (utekaji wa mabasi) na uporaji. Yadaiwa walikuwa wanalindwa na mitambo asilia (ndumba) ili wasikamatwe.Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Kwahiyo utatuzi wa suala la ajira ni kutokuwa msomi ???Nchi hii hakuna wasomi. Msukuma yuko sahihi kabisa
Wasomi ndiyo wanapiga kelele kuilalamikia serikali juu ya ukosefu wa ajira. Tulitegemea wao ndiyo watatuzi wa tatizo hili badala yake wao ndiyo wanalikuza.
Bibi yangu maisha yake yote anaishi kwa kupambana na ametulea. Hawa wasomi uchwara hawana jipya mtaani
Elimu kazi ni kumwezesha mwanadamu kutatua changamoto zinazomzunguka.Kwahiyo utatuzi wa suala la ajira ni kutokuwa msomi ???