Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

Nadhani atakuwa anawananga kina kabudi kiaina ,maana hao ndio wasomi uchwara hakuna la maana wamewahi kufanya zaidi ya kulamba viatu wanasiasa
 
Na wewe lakini ni miongoni mwa hao wasomi wa nchi hii
 
hata mwanamke asiye na tako hukazana na " shiii, kwanza tako ni zito"
 

I don’t have education
I have inspiration, If I was educated I would be a damn full - Bob Marley

Don’t complicate your mind -Bob Marley

And what has been hidden from the wise and the prudent been revealed in the mouth of the toddlers” – Bob Marley
 
Labda tangu awashinde kwa hoja jimboni kwake akaona hawana maana. Kama jimboni kwake hakuna wasomi ningemdharau Msukuma.
 
Hakuna mtu anaye weza kumdharau mwenzie Kama huyo anayedharauliwa hajaonyesha Nia ya kudharauliwa.
Kama vile ambavyo mtu hawezi kutapeliwa mpaka atie Nia ya tamaa na kuingia kingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…