Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Tanzania ina wasomi au waganga njaa tu kushibisha matumbo yao.Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Ndiyo maana mlienda shule. Tulitegemea mje na hizo fikra kubwa. Sasa kama mmesoma halafu mna fikra ndogo kama za bibi yangu, nini tija ya kwenda shule???Hivyo tatizo la ajira isiwe lawama kwa wasomi tu ati ni uchwara, ni jambo pana linalohitaji fikra kubwa...
Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Wasomi wengi wanaabudu pesa badala ya taaluma zao vile vile wanajaa unafiki kwa sababu ya vyeo,mfano, Palamangamba Kabudi na Mwakyembe.Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Ujinga huu mlio nao ndio unaosababisha Musukuma awadharau nyambafu zenu.Kabisa!. Fikiria msomi kama Lisu anaamisha watu kwamba yeye akichaguliwa kuwa rais ndio tatizo la ajira litaisha wakati bibi yako kapambana bila hata Lisu kuwa mwenyekiti wake wa kitongoji na amewasomesha!
Hakika.Umenena vema.Namkubali msukuma,anatumia udhaifu wa wasomi the way wanavyokuwa wanaharakati Bungeni.
Wasomi tujitafakari.
Tembo wapo wengi na nyumbu hadi wanaua watu.
Leo unaongeza kodi kwenye laini,so uuze baadhi ya wanyama ambao Mungu anawalisha.
Jina la msukuma ni maarufu kupitia ujinga wabaadhi ya watu
Umeongea jambo la msingi kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa Musukuma tusimbeze hata kidogo ukiangalia matukio ya awamu ya tano faida na matumizi ya Elimu yalikuwa madogo sana,kitu kilichotawala ni sifa,ubabe,hofu,woga na kujipendekeza,mpaka zikatungwa sheria za kuwalinda Spika,Naibu Spika,Waziri Mkuu,Jaji Mkuu nk.Amegundua mnatumika visivyo na Wanasiasa wasio Wasomi Mnatunga Sheria za kipumbavu, Mnasifia Hovyo Viongozi mnajiita wa Majalalani
Hata mimi huyu mama Jenista kakaa siku nyingi sana vizara mbalimbali lakini sijajua kwa nini wanampa nafasi sana mwisho wa siku hawezi kutumia taluma yake atakuwa anaangalia vyeo tu lakini matokeo sifuri.Tena Jenista ni mbunge jimboni kwetu, lakini mambo anayofanya ni ujinga plus upumbavu mtupu. Halafu mroho wa madaraka hataki kuachia wengine. Msieeeew zake, tena ana Diploma tyuuh. Hovyoooooh
Anajisikia vibaya sana kutosoma (kutopata elimu ya juu). Tatizo kama hili unaweza kuliita 'projection' (yaani tatizo lako au ulilonalo unaliona kwa wengine) au 'inferiority complex' (yaani tatizo lako au ulilonalo linakufanya ujione muda wote kuwa mtu wa chini au usiye na kitu/thamani mbele ya watu wengine).Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Kwangu mimi nataka nichangie kama ifuatavyo, Kwanza kabisa napingana na tabia ya Musukuma kudharau elimu kwa sababu inaweza kusababisha vijana wengi walioko mtaani kupuuzia sauala la elimu kwa kuwa yeye anaongea mbele ya media na ikizingatiwa ni mbunge. It doesn't make sense. Pili nataka kuja kwa upande wa wasomi hapa nchi kwetu , Wasomi wa nchi hii kwa sehemu kubwa hawana uwezo wa kukataa lawama nyingi juu yao kama ifuatavyoNimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Mkuu huyo ameshidwa kuikuza Paramiho ambao ilikuwa inajulikana Afrika Mashariki kwa shughuli zake za maendeleo miaka ya zamani sasa unadhani ataweza nini, ameshindwa kabisa kuipusha.Tena Jenista ni mbunge jimboni kwetu, lakini mambo anayofanya ni ujinga plus upumbavu mtupu. Halafu mroho wa madaraka hataki kuachia wengine. Msieeeew zake, tena ana Diploma tyuuh. Hovyoooooh
Leo namtetea Mbunge Msukuma kwani kama tu Mbunge tena mwenye ' Doctorate ' yake Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ' amewasilisha ' Bajeti iliyojaa ' Upuuzi ' mwingi kwanini sasa ' the so called Intellectuals ' wasidharaulike hivi?Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Mkuu hapo kwenye KATIBA ndipo wasomi ninapo watilia shaka na usomi wao. Kweili!! miaka zaidi ya 60, toka Tupate UHURU eti hutaki kufanyia marekebisho ya KATIBA. Wakati vimikataba, vihati vinafanyiwa marekebisho, tena ndani muda mdogo tu miaka kama 3 - 5. Miongo inapita, tekinologia inaingia, Nchi tulizopata pamoja Uhuru zinarekebisha Katiba zao, azimio la Arusha na la Zanzabar, vyama vingi vya Siasa vinaingi ect, wasomi wetu bado hawaoni sababu ya MAREKEBISHO NDANI YA KATIBA. Nadhani itoshe kusema viongozi na wale wa kujikomba kuteuliwa wana masilahi mapana na KATIBA tuliyo nayo japo kuwa wanajua fika kwamba kwa KATIBA tuliyonayo MAENDELEO tutayasikiaga nchi jirani.Nchi imeongozwa na masomo toka mwanzo,
Wanaoharibu uchumi wa nchi ni wasomi haohao,
Wezi kwenye mabenki yetu ni wasomi,
Walioruhusu shule za matajiri zifundishe kwa kiingereza na za maskini zifundishe kwa kiswahili ni wasomi haohao.
Wanaoodoa na kuweka vikokotoo ni wasomi haohao.
Wanaotamani watanzania wenzao wawe maskini ili wawatawale ni wasomi haohao.
Wanaoshinda kwa waganga ili wawe watawala wa milele ni wasomi haohao.
Waliopanda ndege kwenda madagaska ni wasomi haohao.
Waliokwamisha katiba mpya ni wasomi haohao.
Waliosema Magufuli atawale milele na Leo amekufa wamegeuka ni wasomi haohao. Yako mengi ya kuandika.
Msukuma yuko sahihi
Mkuu sawa, lakini ebu niambie tu kwamba, kweli miaka yetu yote zaidi ya 60 toka tupate UHURU, sifa ya kuwa MBUNGE WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ni kujua KUSOMA NA KUANDIKA. Haya kama sifa ni hizo UNATEGEMEA TAIFA LA AINA GANI?Kwangu mimi nataka nichangie kama ifuatavyo, Kwanza kabisa napingana na tabia ya Musukuma kudharau elimu kwa sababu inaweza kusababisha vijana wengi walioko mtaani kupuuzia sauala la elimu kwa kuwa yeye anaongea mbele ya media na ikizingatiwa ni mbunge. It doesn't make sense. Pili nataka kuja kwa upande wa wasomi hapa nchi kwetu , Wasomi wa nchi hii kwa sehemu kubwa hawana uwezo wa kukataa lawama nyingi juu yao kama ifuatavyo
.Wasomi wa nchi hii ndio walioingiza nchi katika mikataba mibovu ya akina mangungo,fikiria mtu ni waziri anaitwa ulaya analala hotel anasaini mkataba usiokuwa na maslahi kwa taifa hapo tunaweza kusema hawa ni wasomi kweli kwenye nchi yetu?
.Wasomi wetu wengi wamekuwa watu wa kuendeshwa na wanasisa na kushindwa kusimamia taluma zao kikamilifu kwa mfano sakata la CAG na spika kipindi kile.
.Vijana wengi wasomi wamekuwa ani watu wanaotaka sana kupata mali mapema na kupelekea kukosa ubunifu katika mambo mengi ya kiserkali kwa mfano malalamiko yasiyoisha wa wafanyakazi wa TRA na maeneo mengine serkalini. Kwa sababu chache hizo usomi katika nchi yetu unakuwa hauna maana yeyote zaidi ya kila mtu kutumikia tumbo lake tu na kuchana na maslahi mapamna ya taifa.