cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Yani wewe ujipeleke wizi wa mafuta uungue asilimia 95 utegemee ku solve aisee mbona ni impossible kabisa hyo.Hospitalini kuna wagawa vidonge na wachoma sindano. Tulitaka watengeneza vidonge na sindano. Ndiyo maana wale walioungua kule Morogoro walikufa wote. Watoa vidonge na wagawa dawa walishindwa kuwaokoa. Ingekuwa Ulaya wale wote wangepona.
Mabenki kuna watunza fedha. Tulitaka wabunifu wa kutengeneza mifumo ya upatikanaji wa fedha.
Pia ili uweze kutoa dawa kwa ufasaha lazima uwe na shule pia