Hiyo ni sumu ya inferiority complexity. Anapambana na fikra kuwa yeye haujiendeleza kielimu so anajaribu kushawishi hadhira yake kuwa yeye na kuishia la 7 ni bora zaidi kuliko hao walioendelea na shule .Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo.
Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo. Hivi kwanini mheshimiwa mbunge Musukuma kila akichangia anakua akiwasigina wasomi na kuwatukuza darasa la saba?
Hii inatokana na kutojiamini kwa kukosa elimu au kuna nini kafanyiwa na wasomi hadi chuki yake kufikia kiwango cha juu?
Au ndio kutaka kuwawini wananchi wengi ambao hawana elimu?
Muulize huyo anaesema wasio na elimu wamefanikiwa ?Mafanikio makubwa ya kimaisha ni yapi?
Siyo wasomi sema wenye vyeti ni wengi kuliko wasomi hapo itakuwa sahihi, hao wenye vyeti nediyo wanao sababisha wasomi wadharaulike."Tanzania inawasomi wengi wenye vyeti"
Joseph Kusheku a.k.a Msukuma ni mbunge na mfanyabiashara mkubwa.Nambie ni nani ambaye ana maisha ya mafanikio makubwa bila msaada wa elimu ?
Wasomi hawapo. Kungekuwa na wasomi nchi hii ingekuwa na maendeleo kuliko Marekani maana ina rasirimali kibao.wenye vyeti ni wengi kuliko wasomi
Utajiri wake ni wa kupata tu kwenye dhahabu.Joseph Kusheku a.k.a Msukuma ni mbunge na mfanyabiashara mkubwa.
Fikiria "msomi wa Ph.D" kama mwendazake eti ndio kiongozi mkuu wa nchi!!Kabisa!. Fikiria msomi kama Lisu anaamisha watu kwamba yeye akichaguliwa kuwa rais ndio tatizo la ajira litaisha wakati bibi yako kapambana bila hata Lisu kuwa mwenyekiti wake wa kitongoji na amewasomesha!
Bora mjinga ambae hajaenda shule,Kwa sababu anaamini ana pesa, ila ni mjinga tu kama wajinga wengine
Vyote viwili vinamuhusu.Anahasira maana huenda elimu ilimkataa either kwa hali ya maisha yao yakipindi hicho au hali ya huko upstairs
Yule Nyoka mwenye JICHO la makengezaElimu ni muhimu kuwa nayo ili uwe na ground pana ya kuwaza mambo! Ila baadhi ya watu tuliowapa dhamana hawatumii elimu zao kutufaidisha bali wanatumia elimu zao kuliibia taifa.
Kwani kila siku anaokota dhahabu?Utajiri wake ni wa kupata tu kwenye dhahabu.
Haihitajiki elimu au kutokuwa na elimu kuokota dhahabu, yeyote angeweza kupata bahati hiyo.
Yule Nyoka mwenye JICHO la makengeza