Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Kinacho sikitisha zaidi ni serikali hii hii kuwapa wazungu wanyama pori na kuondoka nao huku sisi tukiwekewa vigezo na masharti magumu yasiyo na maana yoyote ile. Ukweli tunaongozwa na watu wasio na upeo kabisaInasikitisha sana