Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

Hao ndio hivyo tena wameisha kisiasa, historia inaonyesha wazi kwamba mpinzani yeyote anayerubuniwa na ccm na kuisaliti upinzani lazima afe tu kisiasa.

Wapo wengi sana hata siwezi kuwataja humu. Hao wanawake ndio hivyo tena Chadema iliwapenda lakini ccm iliwapenda zaidi tuache demokrasia ihimidiwe. Amin.
 
Kwan mahakaman wanaenda eleven nn zaid ya Mchakato wa Baraza kuu ulikuwa Batili?
 
Umetoa wapi haya unayoandika hapa? Sophia Simba alifukuzwa CCM then Bunge likamfukuza, Erasto Tumbo na Danny Makanga walifukuzwa UDP Then Spika Msekwa akawafukuza Bungeni na Lipumba alifukuza wabunge 8 Viti Maalum Ndugai akawafukuza
 
ungekua umekielewa alichokiandika jamaa usingeandika upuuzi huu ....Samia huo ufilauni kaukataa ndomana anajaribu kutembea duniani kujifunza Kama ndohivo asingetoka mbowe gerezani

Kesi ya mchongo ya Mbowe ilikuwa wakati wa Samia, na ilichokuwa inafanya mahakama tuliona, au ulikuwa jela hukusikia habari za hiyo kesi?
 
Hii ni katiba ya nchi gani unazungumzia?
 
Wakidhubutu tu kwenda mahakamani....
Tunayo majembe yetu yalobobea na mambo ya kughushi yakawavue nguo pamoja na alokuwa yuko nyuma chezo zima nayo ni,;
1) Tundu A. Lissu
2) Peter Kibatalla
3) ......
4) ......

Mpaka watarudisha na kodi zetu walizotuibia kwa kulipwa
😂🤣🤣...nahisi hawa covid 19 ndo waliosababisha mafuta kupanda we ngoja wadhubutu.....🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja inyeshe tuona panapovuja,siasa ni zaidi ya kamari au ukiweka chekundu umeliwa
 
Kesi ya mchongo ya Mbowe ilikuwa wakati wa Samia, na ilichokuwa inafanya mahakama tuliona, au ulikuwa jela hukusikia habari za hiyo kesi?
Samia alilishwa matango alivojiridhisha akayatapika aibu Kwenu
 
Sawa Sasa unadhani halima na wenzie Wana Cha kupoteza?
yaani mpaka usubiri 2025 ndo uje urudi tena bungeni leo?
Wanajua wanapiga hela zao wanasepa.huko 2025 ni majaaliwa yake mungu.wakifika watajua wafanye nini
 
Kazi ipo
 
Asante sana Haki sawa .. Wale wote waliokuwa wanawachochea uviko 19 waende mahakamani ni vema wakapita hapa kwenye huu uzi wako wajionee wajisomee
 
Samia alilishwa matango alivojiridhisha akayatapika aibu Kwenu

Yaani mimi mtu wa mtaani nilikuwa najua kabisa ni Matango pori, yeye ambaye ni rais ashindwe kujua? Mkuu unaniona hamnazo nini?
 
Msaliti Hana aibu. Unaweza shangaa wakaenda mahakamani
Mimi naombea waende mahakamani na wasibughudhiwe ktk ubunge wao hadi 2025 ili tusiojua kuwa mifumo yetu ya ovyo tujue.Mtu mmoja anakuwa sheria mama kisa tu ameshindishwa kwa kishindo.
 
Hivi halima ana Mtoto?
Haipo kwenye miongozo ya chama,kuwa na mtoto/kutokuwa na mtoto ni family issue. Mazuri na mapungufu ya Halima kwenye siasa yasihusishwe na hy agenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…