el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.
Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass umenishangaza kidogo, ukizingatia utamaduni ambao umezoeleka katika nchi yetu ambapo katika sherehe kubwa kama Eid el fitr au Christmass huwa hakuna mechi za ligi kuu, kuwapa fursa wachezaji, walimu wa mpira na mashabiki kusheherekea.
Ni kwanini wameanzisha huu utaratibu?