Kwanini mechi ya ligi kuu inachezwa Christmass?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.

Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass umenishangaza kidogo, ukizingatia utamaduni ambao umezoeleka katika nchi yetu ambapo katika sherehe kubwa kama Eid el fitr au Christmass huwa hakuna mechi za ligi kuu, kuwapa fursa wachezaji, walimu wa mpira na mashabiki kusheherekea.

Ni kwanini wameanzisha huu utaratibu?
 
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.

Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass umenishangaza kidogo, ukizingatia utamaduni ambao umezoeleka katika nchi yetu ambapo katika sherehe kubwa kama Eid el fitr au Christmass huwa hakuna mechi za ligi kuu, kuwapa fursa wachezaji , walimu wa mpira na mashabiki kusheherekea .

Ni kwanini wameanzisha huu utaratibu ?
Ni kweli kabisa ila pale Karume wamejaa wao.
 
Mpira ni burudani, na sikukuu ni shamrashamra na burudani

Ni kama vile usikiapo kuna bendi au mwanamuziki fulani ataperform usiku wa siku ya Xmass
Na enzi ya utoto wetu ilikuwa tukishakula pilau ni kuvaa nguo mpya na kwenda disco toto
 
Be positive,mpira ni mtoko wa maana kuliko kwenda bar au lodge
Hata Epl miaka yote huwa juna mechi siku kama ya leo
Nakubali, ila mbona siku nyingine (sherehe za kidini) mechi hazichezwi.
 
1.EID EL FITR ni sikukuu ya kumaliza Mfungo wa RAMADHAN ikiwa na moja ya nguzo za UISLAM

2. EID El adhaa ni sikukuu ya kuchinja. Hii ufanyika wakati wa HIJJA, moja ya nguzo za UISLAM.

3. MAULID ni sikukuu ya kuazimisha kuzaliwa kwa Mtume S.W.A

Katika sikukuu hizo 3 hiyo ya mwisho ndio inafanana uzito na X MASS hivyo haina msingi wowote.
Kwenye uislam sikukuu kubwa na hizo 2 za Juu.
 
Sawa mwaarabu wa Saudi Arabia
 
Leo israel pia ligi yao inaendelea, unasemaje pia katika hili..
Sio hao tu na Turkey, UAE, Ethiopia, Tunisia, Saudi.. naona huku Christmas sio muhimu na kama wapo watakaosherekea basi ni wachache mno.
 
Lengo la mpira ni kupata burudani.Tena siku za sikukuu watu hependelea kupata burudani hiyo na usishangae viwanja vikijaa zaidi siku za sikukuu
 
Back
Top Bottom