Ni kweli kabisa ila pale Karume wamejaa wao.Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.
Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass umenishangaza kidogo, ukizingatia utamaduni ambao umezoeleka katika nchi yetu ambapo katika sherehe kubwa kama Eid el fitr au Christmass huwa hakuna mechi za ligi kuu, kuwapa fursa wachezaji , walimu wa mpira na mashabiki kusheherekea .
Ni kwanini wameanzisha huu utaratibu ?
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea.
Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass umenishangaza kidogo, ukizingatia utamaduni ambao umezoeleka katika nchi yetu ambapo katika sherehe kubwa kama Eid el fitr au Christmass huwa hakuna mechi za ligi kuu, kuwapa fursa wachezaji , walimu wa mpira na mashabiki kusheherekea .
Ni kwanini wameanzisha huu utaratibu ?
Usikariri, mambo yanabadillikaNakubali, ila mbona siku nyingine (sherehe za kidini) mechi hazichezwi.
Hii ni nchi ya KIKRISTO???Israel hawana Christmass. Nchi ya kiyahudi ile.
25/12 hakunaga mechi ya EPL..ni hadi boxing day.Be positive,mpira ni mtoko wa maana kuliko kwenda bar au lodge
Hata Epl miaka yote huwa juna mechi siku kama ya leo
Wameacha miaka hii ya karibuni,25/12 hakunaga mechi ya EPL..ni hadi boxing day.
% ya waisrael sio Wakristo ndomanaLeo israel pia ligi yao inaendelea,unasemaje pia katika hili..
Sawa mwaarabu wa Saudi Arabia1.EID EL FITR ni sikukuu ya kumaliza Mfungo wa RAMADHAN ikiwa na moja ya nguzo za UISLAM
2. EID El adhaa ni sikukuu ya kuchinja. Hii ufanyika wakati wa HIJJA, moja ya nguzo za UISLAM.
3. MAULID ni sikukuu ya kuazimisha kuzaliwa kwa Mtume S.W.A
Katika sikukuu hizo 3 hiyo ya mwisho ndio inafanana uzito na X MASS hivyo haina msingi wowote.
Kwenye uislam sikukuu kubwa na hizo 2 za Juu.
Sio hao tu na Turkey, UAE, Ethiopia, Tunisia, Saudi.. naona huku Christmas sio muhimu na kama wapo watakaosherekea basi ni wachache mno.Leo israel pia ligi yao inaendelea, unasemaje pia katika hili..