huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Kubwa.taifa lipi?
taifa lipi?
Mechi Ya Kimataifa ile japo timu za nyumbani, Uwanjani kulikuwa na wachezaji wanaochezea mataifa kadhaa ya Afrika kama 14 hivi.Ndio maana ikapelekwa Uwanja wa kimataifa
Una maana kwa kuhamishia taifa iliyonufaika ni simba pekeesababu ni mahaba ya TFF kwa simba,
kwani wewe umefikiria nini!
Vyura watabisha na kuleta zogo. Vyura siyo watu.Mechi Ya Kimataifa ile japo timu za nyumbani, Uwanjani kulikuwa na wachezaji wanaochezea mataifa kadhaa ya Afrika kama 14 hivi.Ndio maana ikapelekwa Uwanja wa kimataifa
La Mambumbumbu bin Mikiataifa lipi?
Ratiba tangu mwanzo match ilipangwa saa ngapi na Uwanja gani?Kwani huo uwanja wa Taifa umejengwa kuhifadhi viti na wachina?
Simba walikamatwa na Azam janaHabarini wanajamvi,
Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru?
Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa Taifa?
Naomba kufahamishwa.
S
Simba walikamatwa na Azam jana
Walicheza simba peke yao eeenh?Una maana kwa kuhamishia taifa iliyonufaika ni simba pekee