Kwanini mechi ya Simba vs Azam ilichezwa Taifa?

Kwanini mechi ya Simba vs Azam ilichezwa Taifa?

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habarini wanajamvi,

Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru?

Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa Taifa?

Naomba kufahamishwa.
 
Mechi Ya Kimataifa ile japo timu za nyumbani, Uwanjani kulikuwa na wachezaji wanaochezea mataifa kadhaa ya Afrika kama 14 hivi.Ndio maana ikapelekwa Uwanja wa kimataifa

Kwani kwenye mechi zingine zilizochezwa Uhuru hao hawakucheza?
 
S
Habarini wanajamvi,

Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru?

Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa Taifa?

Naomba kufahamishwa.
Simba walikamatwa na Azam jana
 
Back
Top Bottom