Kwanini members wengi wa Jamiiforums wanakumbwa na visanga na matukio makubwa?

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
487
Reaction score
1,287
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia.

Wanajamiiforums wengi wametingwa na visanga, mwanamemba mmoja anaweza kuleta visanga zaidi ya 10 ambavyo amewahi kukabiliana navyo.

1. Wana JamiiForums wengi wameumizwa na mapenzi.
2. Wana JamiiForums wote wamefika nchi za nje na wamekaa huko.
3. Wana JamiiForums wote ni matajiri.

Najiuliza haya matukio ni ya kweli au ya kutungwa?
 
Kama matajiri au wamekaa nje au wameumizwa na mapenzi, we umejuaje? Na humu Kuna watu wengi Sana? Au ni mawazo yako tu.
 
I'd zile zile zinajirudia kusimulia au kueleza yale yale
 
1. Nani kasema ni tajiri, nani kasema amekaa nje? Je kukaa nje au kuwa tajiri ni tatizo kwa memba wa humu? Thibitisha kwa kina na vivid examples kwamba hausumbuliwi na inferiority complex(15 marks)
 
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia.

Wanajamiiforums wengi wametingwa na visanga, mwanamemba mmoja anaweza kuleta visanga zaidi ya 10 ambavyo amewahi kukabiliana navyo.

1. Wana JamiiForums wengi wameumizwa na mapenzi.
2. Wana JamiiForums wote wamefika nchi za nje na wamekaa huko.
3. Wana JamiiForums wote ni matajiri.

Najiuliza haya matukio ni ya kweli au ya kutungwa?
Kama wote ni matajiri mimi mbn Sina iyo pesa ya utajiri isipokua utajiri wa akili
 
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia.

Wanajamiiforums wengi wametingwa na visanga, mwanamemba mmoja anaweza kuleta visanga zaidi ya 10 ambavyo amewahi kukabiliana navyo.

1. Wana JamiiForums wengi wameumizwa na mapenzi.
2. Wana JamiiForums wote wamefika nchi za nje na wamekaa huko.
3. Wana JamiiForums wote ni matajiri.

Najiuliza haya matukio ni ya kweli au ya kutungwa?
Ina mana hata matajiti tukijigamba huku Nako ni kosa?...

Nina Nisan dualis 3 zote nazitumia kusakia ajira.

Cc. Jobless Billionaire
 
Wote wameajiriwa na wana mishahara mikubwa, na kuna wafanya biashara wakubwa humu kwa siku mauzo wanalaza mill 400
 
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia.

Wanajamiiforums wengi wametingwa na visanga, mwanamemba mmoja anaweza kuleta visanga zaidi ya 10 ambavyo amewahi kukabiliana navyo.

1. Wana JamiiForums wengi wameumizwa na mapenzi.
2. Wana JamiiForums wote wamefika nchi za nje na wamekaa huko.
3. Wana JamiiForums wote ni matajiri.

Najiuliza haya matukio ni ya kweli au ya kutungwa?
Kila mtu mtandaoni ni TAJIRI hadi pale itakapothibitika vinginevyo.
 
Wanatunga xanaa we ukitaka kujua kuwa ni watunzi angalia majina wanayotumia hum mi nkiona "shemeji anakuja na taulo chumban kwang"najua ehee huwa sisomi
 
Back
Top Bottom