Kwanini members wengi wa Jamiiforums wanakumbwa na visanga na matukio makubwa?

1. Wana JamiiForums wengi wameumizwa na mapenzi.
2. Wana JamiiForums wote wamefika nchi za nje na wamekaa huko.
3. Wana JamiiForums wote ni matajiri.

Namba moja ni jambo la kawaida sana kutokea

Namba mbili na tatu ndio imefanya uzi wako uonekane hauna maana,kwasababu neno WOTE ni kiashiria kwamba uzi hauna uhalisia
 
Wote wameajiriwa na wana mishahara mikubwa, na kuna wafanya biashara wakubwa humu kwa siku mauzo wanalaza mill 400
Kwaiyo umeamua kutudharirisha tusioingiza hata 50000 tu kwa siku
 
Nipo mimi jobless wa kimataifa πŸ€’πŸ€’.
πŸ‘‰ I got no job, or a place to liveπŸ€’πŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…