Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Umemaliza mwambie jamaa afunge UZIHabari za 2010 unaleta leo? Uyo jamaa anadai hivo ila hakuna ushahidi wowote
Jinai haioziHabari za 2010 unaleta leo? Uyo jamaa anadai hivo ila hakuna ushahidi wowote
No. Ubaguzi humwathiri mtu kisaikolojia. Mtu yeyote timamu lazima ahisi vibaya anapobaguliwa kwenye lolote. LAZIMA.Blacks wa mbele ni wachumba sana wana taka waonekane kama yatima vile..hivi mimi unite nyani afu nku waze na hauni punguzii kitu wtf .dawa ni kupotezea tu
Jinai haiozi
Huu Uzi ufutweTunaona wachezaji mbalimbali wakipewq adhabu kali kwa kutoa lugha za ubaguzi mfano Luis Suarez, John Terry na hata club ya Valencia kupigwa faini kubwa kwa mashabiki wake kumbagua Vinicius
Iweje Messi anatukana wachezaji weusi matusi ya kibaguzi halafu anaachwa tu?
View attachment 2635208