Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Correction: To Inspire Others.
Mbona hiyo sentence grammatically ni correct na wala haina tofauti yoyote na hiyo ya kwako na maana ni ileile?
Tofauti yake ni nini?

inspiration to others.
To inspire others.
As an inspiration to others.
So to inspire others.

Au una memorize sentences mkuu?
Language is an Art and not Absolute like Mathematics.
 

Marc umeongea vizuri lakin amin kuna wengine wanapost kwa lengo sio

Nna jamaa zangu wanaenda gym na kupost kwa ajili ya babes hivi vitu sio watu wanatunga ni vipo
 
Ulimwengu wa smartphone, sikuhizi sio lazima umwite yule jamaa anaetembelea baiskeli aje akupige picha.
 
Kupiga picha unaweza kupiga katika jambo lolote ukiwa kazini, nyumbani, outing, njiani, mazoezi etc..Ni kumbukumbu ,motisha kwa wengine kuona inawezekana...watu wengi they suffered na magonjwa ya mtindo wa maisha na uzito uliopitiliza..mazoezi ni hamasa kwao kuona inawezekana .
 
Maneno mengi hizo picha mnazosema hatuzioni
 
Fashiooooooooooooooooooooooooooooooon!!!!!!!!!
 
Mtoa mada kama huwa unakereka waambie wenyewe acha unafki..futa namba zao usione wanavyoposti status nk
Pia uache wivu usio na maana kwani unadhani kazi ya kamera za smartphone ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…