Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Correction: To Inspire Others.
Mbona hiyo sentence grammatically ni correct na wala haina tofauti yoyote na hiyo ya kwako na maana ni ileile?
Tofauti yake ni nini?

inspiration to others.
To inspire others.
As an inspiration to others.
So to inspire others.

Au una memorize sentences mkuu?
Language is an Art and not Absolute like Mathematics.
 
Sijui kwanini wanawake wanafanya hivyo lakini damn! they look good in those tight pants so seductive and intuitive. sijui wanaitaje vile vinguo vyao vya mipira but it's entertaining for me hivyo wasiache.

Kama ni mazoezi ya kuongeza misuli ya mwili kwa wanaume utakuta wanafanya hivyo ili kuangalia progress na wapi ulipotoka na ulipofikia.
Miezi kadhaa nyuma ulikuwa skeleton full mifupa na makongoro lakini leo unajiona unaanza kuonekana kama binadamu mwenye afya na nguvu.

Mbona mambo ya kawaida sana, ila kama unahisi wanafanya show off basi ni sababu ya insecurities zako mwenyewe.
Labda sababu ni una uzito uliopitiliza na mnene sana mpaka kwenye daladala unalipia siti za watu wawili au ni mwembamba sana mpaka mkanda haukai na suruali inabidi ufungie waya au kamba za katani na ukivaa shati linakuwa kama umevaa kiroba au gunia la viazi. hivyo mind yako inakuwa inatrigger defense mechanism subliminally.

Sure, maybe I went too far lakini hiyo ni from psychological view.

Marc umeongea vizuri lakin amin kuna wengine wanapost kwa lengo sio

Nna jamaa zangu wanaenda gym na kupost kwa ajili ya babes hivi vitu sio watu wanatunga ni vipo
 
Ulimwengu wa smartphone, sikuhizi sio lazima umwite yule jamaa anaetembelea baiskeli aje akupige picha.
 
Kupiga picha unaweza kupiga katika jambo lolote ukiwa kazini, nyumbani, outing, njiani, mazoezi etc..Ni kumbukumbu ,motisha kwa wengine kuona inawezekana...watu wengi they suffered na magonjwa ya mtindo wa maisha na uzito uliopitiliza..mazoezi ni hamasa kwao kuona inawezekana .
 
Maneno mengi hizo picha mnazosema hatuzioni
 
Fashiooooooooooooooooooooooooooooooon!!!!!!!!!
 
Mtoa mada kama huwa unakereka waambie wenyewe acha unafki..futa namba zao usione wanavyoposti status nk
Pia uache wivu usio na maana kwani unadhani kazi ya kamera za smartphone ni nini?
 
Back
Top Bottom