Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Kwanini mfanyapo mazoezi manajipiga picha na kujirekodi video?

Wanaopost mara nyingi wanamaanisha

“angalia nna lifestyle nzuri wakat wewe upo upo tu”

tofauti ikiwa anafanya biashara labda ndio ana maana nzuri, ila awa wengine ni show off tu
 
mpaka kwenye mapenzi chumbani .hizi simu janja zinapelekesha watu
 
Tuone Mbususu na madushe yalivyo vimba na kulowana kwenye skin tight zao.
Wengine wanataka tuone makalio yao yalivyoumuka.
Kwa kifupi ni mitego ya ibilisi nami naikemea kwa jina la Yesu shidwaa pepo mchafu.!
 
Sijui kwanini wanawake wanafanya hivyo lakini damn! they look good in those elastic tight pants so seductive and intuitive. sijui wanaitaje vile vinguo vyao vya mipira but it's entertaining for me hivyo wasiache.

Kama ni mazoezi ya kuongeza misuli ya mwili kwa wanaume utakuta wanafanya hivyo ili kuangalia progress na wapi ulipotoka na ulipofikia.
Miezi kadhaa nyuma ulikuwa skeleton full mifupa na makongoro lakini leo unajiona unaanza kuonekana kama binadamu mwenye afya na nguvu.

Mbona mambo ya kawaida sana, ila kama unahisi wanafanya show off basi ni sababu ya insecurities zako mwenyewe.
Labda sababu ni una uzito uliopitiliza na mnene sana mpaka kwenye daladala unalipia siti za watu wawili au ni mwembamba sana mpaka mkanda haukai na suruali inabidi ufungie waya au kamba za katani na ukivaa shati linakuwa kama umevaa kiroba au gunia la viazi. hivyo mind yako inakuwa inatrigger defense mechanism subliminally.

Sure, maybe I went too far lakini hiyo ni from psychological view.
 
Back
Top Bottom